Samweli Sitta ni Mgonjwa

Samweli Sitta ni Mgonjwa

Status
Not open for further replies.
Sina huruma naye huyu mtu, ndo katusababishia shida yote hii tuliyonayo leo, yeye kama vipi akate kamba tu, hana mchango wowote ktk nchi hii zaidi ya kututengenezea majanga.
 
Wakuu heshima sana,

Leo nimejikuta namkumbuka mwenyekiti wa bunge la katiba aliyewapigisha kura wajumbe waliokwenda kuhiji Makkah Bwana Samwel Sitta.

Taarifa za hivi karibuni zilionyesha Mzee Sitta alikuwa mgonjwa sijui hali yake inaendeaje.Majuzi alitimuliwa kwenye nyumba ya serekali sijui kama alishapata makazi mapya au kaamua kuishi hotelini kama wale majaji wateule waliokosa nyumba za kuishi baada ya kuuzwa na serekali ya awamu ya tatu ya Mzee wa Ukweli na uwazi.

Nawasilisha.
 
Kwani hata makazi yake hapa Dar..mmmmmh..?
 
Ila mimi nimekuelewa sana mkuu...only the illuminated will get you right..!
 
Sina huruma naye huyu mtu, ndo katusababishia shida yote hii tuliyonayo leo, yeye kama vipi akate kamba tu, hana mchango wowote ktk nchi hii zaidi ya kututengenezea majanga.
Kwani yeye ni mwana wa kwanza wa mungu kufa?ni swala la wakati tu,akitanguli poa na kama ametenda upuuzi asubiri mioto tu
 
Wakuu heshima sana,

Leo nimejikuta namkumbuka mwenyekiti wa bunge la katiba aliyewapigisha kura wajumbe waliokwenda kuhiji Makkah Bwana Samwel Sitta.

Taarifa za hivi karibuni zilionyesha Mzee Sitta alikuwa mgonjwa sijui hali yake inaendeaje.Majuzi alitimuliwa kwenye nyumba ya serekali sijui kama alishapata makazi mapya au kaamua kuishi hotelini kama wale majaji wateule waliokosa nyumba za kuishi baada ya kuuzwa na serekali ya awamu ya tatu ya Mzee wa Ukweli na uwazi.

Nawasilisha.
Aisee kuna tetesi umezinyaka nini ? Maana chini ya kapeti jana alikua asafirishwe kwenda Ujerumani sijui wameishia wapi
 
Kosa lile la kuchafua katiba yetu sijui kama nitakuja kumsamehe, labda akiwa kaburini ndiyo naweza kumsamehe
wewe ni mkwepakodi hivyo hufai kabisa kwakuwa unahujumu taifa kwa tabia hiyo. usimlaumu mzee hasa katika kipindi ambacho anapigania uhai wake. taifa sio lako pekeyako au na kikundi chako. katiba ile ni mbaya kwako lakini nzuri kwa wengine na huenda ni wengi zaidi. masuala ya katiba ni demokrasia na maridhiano pia. hakuna alichoandika pekeake mule watu wengi walishiriki na wengine wakaona kazi ngumu wakatoka nje kunywa kahawa, wakawekewa kilevi wakalewa muda wote mpaka katiba ikapatikana na tunasubiri kura ya maoni.... sisi tunamuombea sitta kamamtanzania mwenzetu na kiongozi mahiri aliyetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa hili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom