Samwel Sitta: Tanzania iko tayari kupambana na aina yoyote ya uchokozi kutoka Malawi!

Kuliko kuiachia malawi ziwa nyasa bora tutwangane tu.bora ziwa nyasa lisiwe na mwenyewe liwe linaogopwa kama mamamkwe pande zote mbili kila nchi inayo taka kuligusa ziwa nyasa ijione ni kama inataka kumgusa mamamkwe hapa ndipo tutakapoheshimiana.

This make sense
 
Ukweli majeshi yamejaa tayari mipakani idadi ya wanajeshi ni karibu kulingana na idadi ya wakazi, vifaa ndio uisiseme. inchi hii sio masilikini kivifaa
 
Haya matamko mazito ya KIVITA yanayotolewa barabarani na kila mwanasia jinsi tu mtu apendezwavyo kweli vivyo hivyo ndivyo mambo NYETI kama haya ndivyo yanavyotakiwa yawe au taaluma ya kijeshi sasa imebadilika kanuni zake?

Je, wansiasa mnapofanyia mzaha mitamko mizito kama hii huko ni kusema kwamba wenyewe huko TAYARI MNAJIHISI KUWA AMIRI JESHI MKUU kila mmoja kwa nafasi yake au?????? Ni kero tupu kuona mizaha kama hii!!!!!
 
Back
Top Bottom