CCM kuna mlichojifunza toka kifo cha Spika Sitta?

makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,638
1,218
Kwanza nianze kwa kuipa pole sana familia ya marehemu Sammy John Sitta, Mbunge, Spika wa Watu na Mtumishi wa Viwango na Kasi.Pole sana mama yetu Margareth John Sitta pamoja na watoto Mungu azidi kuwapa nguvu,subira na uvumilivu wakti huu wa kipindi kigumu.

Samwel John Sitta hakika alikuwa ni jabali la siasa na tunaweza kumweka kwenye kundi moja na marehemu Baba wa Taifa, Mwl. JK Nyerere. Hawa ni watu ambao kweli wameacha Legacy ambayo haitafutika katika historia na mioyo ya Watanzania wengi.

Sammy niliwahi kufanya kazi naye wakti akiwa TIC(Tanzania Investment Centre) na watumishi wengi waliokuwa TIC kipindi hicho bado watakuwa na kumbukumbu ya mambo makubwa aliyoyafanya Maehemu Sammy. Si ia yangu kueleza sifa za marehemu ila kusudi la uzi huu ni kutaka kuonyesha unafiki uliopitiliza ulioonyeshwa na CCM na Viongozi wake.

CCM na Serikali yake ni kama ilikuwa inajiumbua na kujiabisha kwenye msiba huu mkubwa. Tumesikia Viongozi wengi wa CCM wakimimina sifa lukuki kwa Sammy kuwa alikuwa Spika wa Watu, Spika wa Viwango na Kasi na blabla kibao. Yote haya ilikuwa ni kuonyesha UNAFIKI wa CCM kwa Marehemu Sitta. Watu wenye imani za kishirikina huwa wanasema kwamba mchawi aliyemroga na kumwua marehemu HULIA SANA KWENYE MSIBA KUONYESHA KUWA AMEGUSWA NA MSIBA ILHALI NI KINYUME CHAKE. Hii ndiyo staili ya CCM. Ikumbukwe kwamba CCM walikuwa hawataki utendaji kazi wa Sammy katika Bunge kwa kipindi chake 2005-2010. Baada ya Sitta kuonyesha Kasi na Viwango vyake vya KUISIMAMIA SERIKALI WALIAMUA KWA MAKSUDI KABISA KUMTOSA KWENYE USPIKA. Kila Mtanzania anakumbuka figisu zilizotokea mwaka 2010 wakti wa kuchagua Spika wa Bunge la 10 kwa kufanya njama za kutaka CCM WALITAKA SPIKA MWANAMKE SIFA AMBAYO MAREHEMU SITTA ASINGEWEZA KUIPATA!!!Tunakumbuka Sammy alilalamika sana kuhsu njama hizi na alisema zasingweza kubadili jinsia yake kuwa Mwanamke ili aendelee kuwa Spika wa Viwango na Kasi.

Leo Sammy hatunaye lakini Viongozi wa CCM wameonekana kwenye msiba wakibubujikwa machozi ya kinafiki kuwa wamempoteza ati mtu muhimu!!! Sielewi haya machozi ni ya kujutia DHULUMA NA DHAMBI waliyomfanyia Sammy au ni kitu gani hasa. Jambo ambalo ni dhahiri hapa ni kwamba CCM walikuwa wakithibitisha unafiki mwingine tu kama ambavyo walifanya wakti wa kifo cha Baba wa Taifa. Wallilia sana mwaka 1999 baada ya kifo cha Mwalimu lakini leo hii hakuna hata Kiongozi mmoja wa CCM anayemwenzi Baba wa Taifa kwa vitendo. Hakuna.

Kwa upande wa Sammy Sitta CCM wanaenda kufanya kilekile kama walivyofanya kwa Mwalimu. Hakuna cha kumwenzi Sitta wala nini. Maana kama CCM tayari walianza kumtoa kwenye Uspika na kukataa kazi zake za Viwango na Kasi leo wataendeleza vipi Viwango na Kasi wakti mwasisi wake walishamtosha?? Liko wapi Bunge la Viwango na Kasi kwa sasa, Liko wapi Bunge lenye Meno kwa sasa? Liko wapi Bunge lenye Kuisimamia Serikali kwa sasa??? Liko wapi Bunge linalorishwa Live kwa sasa??Jibu ni Hakuna.

Nawapa CCM na Serikali yao a challenge. Kama kweli wanataka kumuenzi Spika wa watu, Spika wa Viwango na Kasi basi WARUDISHE YALE YOTE ALIYOANZISHA MAREHEMU SAMWEL JOHN SITTA wakti wa kipindi chake kama Spika. Tunataka Bunge lirudi kwenye hali yake kama lilivyokuwa wakti wa Uspika wa Samwel John Sitta. Tunataka tuone Bunge likiisimamia Serikali kwa nguvu zote, tunataka tuone Bunge likiendeshwa kwa Kasi na Viwango bila ya Figisu za kipuuzi zinazo gandamiza na kuminya Uhuru na Demokrasia ndani ya Bunge tunao uona sasa. Tunataka tuone Bunge likirushwa LIVE wakti wote wa vikao vya Bunge. Najua CCM na Serikali yao chini ya Utawala huu wa A5 hawawezi kufanya haya. Job Ndugai hana ubavu huo wala huyo Kigagula Asiye Tulia Ackson hana ubavu huo!!!Pengine itachukua miongo kadhaa kuja kuzalisha Sammy Sitta mwingine mwenye Kasi na Viwango labda kama atatoka nje ya CCM!

R.I.P NDANI YA URAMBO SPIKA WA WATU. DAIMA TUTAKUKUMBUKA.
 
Aisee ccm ni hapana, jinsi walivyomdhibiti sitta sina hamu, eti hii ni zamu ya spika Mwanamke, sitta akashindwa kubadili jinsia hahahaha, labda ingekuwa marekani angeweza kubadili jinsia hahahaha
 
Penye miti hakuna wajenzi. Well said. Watu wenyewe ni hawa, Mh!
 
Ile list iliyokuwa ikimtukana na kumdhihaki Lowassa wakati wa kampeni za Uchaguzi mwaka jana ni ndefu sana..!!
Let's wait and see.. Who's next..!!
 
Mengeleni Kwetu,
Inaonekana una hoja ya msingi. Kama ni hivo basi watapukutika wengi. Sina hakika kama Bwana Nepi Naye atakosekana kwenye hiyo orodha ndefu. Bila shaka ni swala la muda tu.
 
Back
Top Bottom