cyberspace
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 730
- 291
kama waziri sitta ana uwezo wa kumshauri au kumshawishi rais kuwa dowans isilipwe,je amewahi kumuandikia barua jk kuhusu dowans?je amewahi kupeleka hoja binafsi kuhusu dowans ijadiliwe kwenye baraza la mawaziri?
Hivi neno mnafiki maana yake nini hasa? Kwa bahati mbaya sana, maadui wa Samuel Sitta, ambao ni mafisadi wa Richmonduli, rada, Kagoda, TICTS na wengineo, ndio . wamekuwa wakitumia neno hili ndani ya CCM na nje kujaribu kumpiga vita na kumchafua kiongozi huyu.
Kwa nyie msiojua, Samuel Sitta ni kiongozi shupavu, msema kweli, anayethubutu, mchapa kazi na kiboko wa mafisadi. Tanzania ingempata mtu kama huyu kuwa Rais nchi hii ingeondokana na umasikini katika kipindi chake cha kwanza tu cha miaka mitano! Msiwe wavivu wa kufikiri na kuburuzwa na mafisadi kumuita eti Sitta ni mnafiki, kwa lipi wakati yeye kila siku ameonesha uongozi na ushupavu wa kusema ukweli? -- eg kupinga hadharani malipo ya Dowans, kusema serikali iombe radhi kwa mgao wa umeme, na mengine mengi.
Kwa msiojua, hata CHADEMA wanamfahamu sana Sitta kuwa ni kiongozi makini ndio maana mwaka 2010 walimuomba agombee Urais kupitia chama hicho. Sitta alipokataa ndio ilibidi CHADEMA wambembeleze Dr. WILLIBROD SLAA agombee Urais wakati alikuwa anataka kutetea kiti chake cha ubunge wa Karatu.
Na kama CCM ikimsimamisha Sitta kuwa mgombea Urais wa 2015, basi CHADEMA watapata taabu sana kupambana naye jukwaani. Huu ndio ukweli, acheni uvivu nyie kwa kulishwa maneno na propaganda za mafisadi.

Well said, nimegundua wanajamvi wengi humu JF aidha wanafaidi na mfumo uliopo wa kifisadi indirectly au wao ni mafisadi in the making. Haiwezekani mtu anayepinga ufisadi anaitwa mnafiki kwa sababu tu record imekuwa tainted na jambo fulani. Hii siyo haki kabisa
Hiyo ndo Tanzania huwa tunashindwa kuchambua ni kipi cha maana na kipi si cha maana, tukumbuke wakati Baba Riz anaingia madarakani alishangiliwa na kila mmoja na kuamini ni chaguo la Mungu leo sijui ni changuo la SHETANI? Kiongozi bora anapimwa kwa matendo yake na si kushangiliwa na kundi fulani la watu
Ndugu yangu Fareed umesema ukweli kabisa, huyu kiongozi ana msimamo sana hata mafisadi wanamuogopa sana. Ni hawa mafisadi wenyewe baafa ya kukosa kashfa yoyote dhidi yake wakaanza kueneza propaganda hasa ndani ya CCM kuwa Sitta ni MNAFIKI, ndio maana neno hili mmeona limejirudia rudia sana humu JF.
Pia wametumia baadhi ya wana usalama walionunuliwa, vyombo vya habari kama magazeti ya Tanzania Daima, Mtanzania na mengineo, kujaribu kueneza hii sumu dhidi ya Sitta. Lakini jitihada zao zimegonga mwamba kwani SAMUEL SITTA anakubalika sana na mamilioni ya Watanzania. Huyu ni mtaji mkubwa sana wa Urais wa 2015 kupitia chama chochote!
Umesahau Bungeni juzi aliwaita Wapinzani wanafiki juu ya posho na yeye akasema posho ? Unakumbuka aliliia na maandamano baada ya siku chache akaaandamana Mbeya ? Kwa matukio machache unaonaje si mnafiki huyu ?

Ana mazuri na mabaya ake, but for now, he is a lesser devil if you compare him with a couple of other government leaders. Hata ndani ya kundi la wasomi kuna wanafiki, vibaraka, wenye dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi, wenye uroho wa pesa na wengine wengi utakaoweza kuwataja. So, as a citizen, Samwel Sitta has a liberty to advocate whatever he believes in.Kumbe kuna wasomi wanaomshangilia huyu mnafiki?..
vipi kuhusu maandamanoHizi ni siasa za ushindani tu, sioni tatizo kwa Sitta kupingana na upinzani na kuitetea serikali kwa yale ambayo anayaunga mkono. Posho ni mjadala mwingine, ki msingi hata Nyerere alilipa posho kwenye serikali yake, kinachotakiwa ni usimamizi mzuri wa malipo hayo kuangalia kama viwango kweli vinaendana na uchumi wa nchi na pesa hizi hazifujwi.
Tanzania inahitaji viongozi wasema kweli na shupavu kama Sitta na si watawala wanafiki!
Umesahau Bungeni juzi aliwaita Wapinzani wanafiki juu ya posho na yeye akasema posho ? Unakumbuka aliliia na maandamano baada ya siku chache akaaandamana Mbeya ? Kwa matukio machache unaonaje si mnafiki huyu ?
Well said, nimegundua wanajamvi wengi humu JF aidha wanafaidi na mfumo uliopo wa kifisadi indirectly au wao ni mafisadi in the making. Haiwezekani mtu anayepinga ufisadi anaitwa mnafiki kwa sababu tu record imekuwa tainted na jambo fulani. Hii siyo haki kabisa
Wallahi vile, hakuna cha Great Thinkers au lolote. Wengine humu wana tabia ya kupenda kukaririshwa maneneno halafu wao kazi yao ni kuyaimba tuuu kama majuha. Ukiliangalia neno "mnafiki", ukaangalia na vitendo vya Samuel Sitta ni vitu viwili tofauti!..
Ni kweli kashangiliwa lkn ni kati ya watu hawana msimamo anauchu na ikulu pia ni kati ya watu wanafiki ambao wanatoa hoja nzito lkn kuitetea hawawezi kumbukeni Bunge lililopita na akiwa anamsidia waziri mkuu kujibu maswali alivyokuwa anajaribu kuzizima hoja za msingi kwa taifa letu kweli mgema akisifiwa Tembo hulitia maji