Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,543
Reaction score
553
Jina la Samwel Sitta lilipotajwa ili apokee recognition pale udsm kama Spika aliyesoma kitivo cha sheria alishangiliwa sana. Ukumbi ulilipuka kwa shangwe. Kushangiliwa kwake tena na wasomi inaonyesha watanzania wana imani kubwa nae. CCM wakifanya mizengwe namshauri ajiunge Chadema, atapata nafasi nzuri, watanzania wanamhitaji sana.
 
Huyu jamaa ni mnafiki na aaminiki kabisa mkuu,kuna baadhi ya mambo anakuwa kama ni mtu mwema na mengine ni kituko...ishu ya uraisi 2015 anaonekana kama anapigana upande wa watanzania kwasababu halipendi kundi la EL lakini ukija kwenye posho ndio wakwanza kutaka iongezwe...nadhani hatufai CDM....
 
Jina la Samwel Sitta lilipotajwa ili apokee recognition pale udsm kama Spika aliyesoma kitivo cha sheria alishangiliwa sana. Ukumbi ulilipuka kwa shangwe. Kushangiliwa kwake tena na wasomi inaonyesha watanzania wana imani kubwa nae. CCM wakifanya mizengwe namshauri ajiunge Chadema, atapata nafasi nzuri, watanzania wanamhitaji sana.

Hapo kwenye red hapo. Sema unamuhitaji wewe. Sisi wengine hatumtaki hata kumuona akigombea ujembe wa Nyumba kumi kumi.
 
Wasomi wa Tanzania hapa ndio wananiacha hoi, sasa wanamshangilia Sitta wa nini...

Sitta ni ndumilakuwili huwezi kuwa CCM halafu unajifanya kupinga ufisadi wakati kwenye vikao vya mawaziri unakuwepo
 
huyu mzee mwenzangu hana kifua cha kuchagua upande.ni legelege na muoga mkubwa
 
SITA,MWAKYEMBE na Wenzie wote wanaojidai wapiganaji akati wanaogopa vivuli vyao wote ni wanafiki wakubwa
 
Kumbe kuna wasomi wanaomshangilia huyu mnafiki?..
hii ni aina nyingine ya upuuzi wa kitanzania hakuna anaye sema THANKS kisa kuna kosa lilifanywa nyuma au linaendelea hata sheria zina hukumu wati kitofauti kutokana na ushirikiano wao au uwajibikaji

mimi sio mfuasi wa SITTA ila kwa maneno anayosema no matter anamaanisha amaanishi ni ya ukweli na muhimu kutolewa na mtu kama yeye sasa watu wanataka yeye afanyeji?
kama kusema ukweli sio mwanzo mzuri baadaye atajua na njia, au mpaka aseme mtu furani hapa ndio yanaoneka sio unafiki tunapima vipi sasa huo unafiki
 
Sitta anajaribu kujiengua kisiasa lakini roho ya uchu wa mali akiwa CCM unamsumbua. Namshauri ajiunge na Nguvu ya Umma, CDM, hoja yake ya ufisadi itasomeka vizuri zaidi ya sasa.
 
Huyu mzee ni mzuri na yaonekana ana uchungu sana na watanzania maskini na raslimali zao,ila sijui kwa nini anashindwa elewa kuwa hapo alipo hata apge kelele vp kamwe watanzania hawatamwelewa.kwani amesimama pachafu halaf anataka aonekane msafi.
 
ikifika2015 atakuwa babu sana mwacheni amalizie tu spika mstaafu.mtandao wa jk 1995,2005 umemtosa u,pm anavisasi ndo vimebaki
 
Huo ndio ukweli. Ujasiri wa kusema tu ukweli ni kitu kikubwa sana ambacho viongozi wengi wanaogopa kufanya
hii ni aina nyingine ya upuuzi wa kitanzania hakuna anaye sema THANKS kisa kuna kosa lilifanywa nyuma au linaendelea hata sheria zina hukumu wati kitofauti kutokana na ushirikiano wao au uwajibikaji

mimi sio mfuasi wa SITTA ila kwa maneno anayosema no matter anamaanisha amaanishi ni ya ukweli na muhimu kutolewa na mtu kama yeye sasa watu wanataka yeye afanyeji?
kama kusema ukweli sio mwanzo mzuri baadaye atajua na njia, au mpaka aseme mtu furani hapa ndio yanaoneka sio unafiki tunapima vipi sasa huo unafiki
 
Huyu jamaa ni mnafiki na aaminiki kabisa mkuu,kuna baadhi ya mambo anakuwa kama ni mtu mwema na mengine ni kituko...ishu ya uraisi 015 anaonekana kama anapigana upande wa watanzania kwasababu halipendi kundi la EL lakini ukija kwenye posho ndio wakwanza kutaka iongezwe...nadhani hatufai CDM....
Kwanza kuna mambo mengi ya kujifunza sana katika watu maarufu wanaohama chama, wanaweza wasikisaidie chama kama inavyofikiriwa au kuaminiwa. Mamluki wengi ni watu wa kuhamia, na hawana uchungu kuliko watu waliokulia chamani.
 
Kama kawaida Watanzania wenye fikra mgando wanaendelea kuimba wimbo waliokaririshwa pasi kufikiri...Mnafiki....Mnafiki....Mnafiki, CCM wote Wanafiki...Wanafiki, upumbavu mtupu!!

Endeleni kuimba huku huo wimbo huku mkiwakatisha tamaa waliojitolea kupambana na uovu na kuwapa upenyo waliojitolea kula pesa za nchi.

waliojitolea kupambana hawapo ccm!mcheki dr slaa!
 
Hata Kikwete kabla hajawa Rais alishangiliwa sana na wanachuo na kumshawishi agombee urais hata kabla ya kipindi cha kuchukua fomu. Sikumbuki kulikuwa na tukio gani lililomfanya afike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom