Chai nyingine hii,Kwa technologia ya sasa simu ikiwa na battery capacity chin ya 5000 Amh ni matatizo
Tumia common sense. Ixo simu ulizo zitaja hapo ni simi ghali yan high ends. Kampuni zingine zinatoa simu ya kawaida kama oppos na infinix lakin battery zao zina uwezo mkubwa kuliko samsungs kwa RANGE HIYO. Sasa basi chukua iyo samsung s20 plus na huawei p30 from mornee washa data uone na samsung yako utafika nayo wapi ?Chai nyingine hii,
Naomba kufahamu matatizo ya;
Vivo V23
Samsung galaxy S20+
Huawei P30
Apple iPhone 13 pro max
Hizo zote zina battery capacity chini ya 5000mAh
Nimechukua S20 na P30 nimewasha data na nimefika nayo KigomaTumia common sense. Ixo simu ulizo zitaja hapo ni simi ghali yan high ends. Kampuni zingine zinatoa simu ya kawaida kama oppos na infinix lakin battery zao zina uwezo mkubwa kuliko samsungs kwa RANGE HIYO. Sasa basi chukua iyo samsung s20 plus na huawei p30 from mornee washa data uone na samsung yako utafika nayo wapi ?
Hii ni pasi manKaka, una simu ama pasi ya umeme?
Sasa watu wapo S22 wengine bado wapo 10
Tena ya mdalasiniSi kweli... yaani utumie data full time ikae 36hrs without charging? Hii ni chai
Hiyo chai simu utumie internet lazima ichemke Tena ukiongeza na joto la nje kama upo Dar au ukanda wa Pwani betri inaisha haraka haiwezi kukaa masaa 24 labda kama unaiwasha na kuizima na kuiwasha baada ya masaa kadhaaKawaida masaa mangapi kwa matumizi ya kawaida ?
Mfano mimi natumia Oppo , bat ni 4230mah, full time data matumizi ya kawaida nafikisha masaa 36 na ushee
Aliyesema nina S22 naniS22 yako inafanya nini ambacho S10 haifanyi ?
S10 ni simu ya mwaka gani mkuu?We unaona sawa s10 kuwa na battery 3400Ahm
Inategemea na preferences zako...kama unapenda S pen go for note 10, note 10 ina battery kubwa kuliko s10 ingawa baadhi ya review ilikua nyuma kwa s10 kwenye battery endurance, pia note 10 plus haina earphone jack,mm napenda S series ningechukua S10 plus.Hivi kati ya samsung note 10+ , s 10+ na one plus ipi bora nataka nifanye maamuzi ya kununua simu kati ya hizo now natumia s 9+
Habari za muda huu sons and beautiful daughters of men.
Ninyoke kwenye mada. Hivi hawa samsung wameshindwa kabisa kutengeneza batteries au vip yaani simu kama note 10 ina 3500mah s10 3400mah ? Simu hizi na nyinginezo ni nzuri lakini kwenye batteries capacity ni shida.
Wenda kuna sababu siijui ebu karibuni kwa michango na mitazamo yenu
Tatizo wengi humu wanatumia vitu used or refurbishedHiyo iphone ni kopo sio simu. Mimi natumia samsung na hua nacharge mara 1 kwa siku na naitumia ipasavyo. Sijawah miliki power bank naonaga watumiaji wa iphone wengi wana power bank. Poleni5
A series wana 5000mAh na M series piaNi wakawaida sana yani sana, kampuni zingine sijui kama zinatoa phone yenye chini ya 5000mAh
Hizo chai wazee mtaacha Lin lakin...Galaxy M11 ina battery ya 5000 mAh na ni fast charging bila kuzima data 36 hrs bado inakuwa na 30-40%
Wewe bakia ukisema ni chai za mdalasini+ shubiri ila ni kweli .Galaxy M11 nimeitoa kwenye charger jana saa 1.30 asbh ikiwa Fully Charged sasa hivi ni saa 10 jioni next day ipo 50% charge.Hizo chai wazee mtaacha Lin lakin...
Kwan hujui kuleta picha pale ya battery consumption tukaonaWewe bakia ukisema ni chai za mdalasini+ shubiri ila ni kweli .Galaxy M11 nimeitoa kwenye charger jana saa 1.30 asbh ikiwa Fully Charged sasa hivi ni saa 10 jioni next day ipo 50% charge.