Ukaaji na chaji unategemeana na mengi sana.Sawa zina weak soc ila nimetoa mfano kwa oppo kulingana na mdau alivyomjibu mchangiaji hapo juu. Ndiyo maana nikaweka na samsung j6 plus na a51.
Nimetumia simu aina nyingi na matoleo tofauti ila sijawahi kubahatisha simu ya Samsung inayokaa na chaji zaidi ya masaa 12. Iwe low, mid, au high end. Samsung nyingi nilizotumia ikiwa mpya inahitaji kukaa na chaji kadiri siku zinavyoenda ndivyo ukaaji wa chaji unapungua, kitu ambacho kwa oppo au xiaomi ni ngumu kukuta.
Oppo gan hii man ?...Kawaida masaa mangapi kwa matumizi ya kawaida ?
Mfano mimi natumia Oppo , bat ni 4230mah, full time data matumizi ya kawaida nafikisha masaa 36 na ushee[emoji119]
Hyo footer yako kuhusu the late kafire ni noma haha ila waTz banaHapo mbongo wa kutoka chato kijijini hata kuelewa!
Itaje?Mbona wanazo zenye 5000mAh mkuu
Mfano Karibu samsung A series zote yani A12, A32, A03 na nyingine zina ukubwa wa 5000mAhItaje?
Kama ni chai sawa. Kila la kheri.Si kweli... yaani utumie data full time ikae 36hrs without charging? Hii ni chai
A3s jombaaOppo gan hii man ?...
A51 anayo mdogo wangu masaa 12 chaji imeisha, akiwa busy nayo sana masaa 8 ni mengi.Tatizo ni kuwa mnanunua samsung za bei chee. A51 samsung moja Hivi tamu sana 3 days inakaa na chaji Bei ni Tsh850,000/
Hivi huyu jamaa mnamuonaga Mungu wa tech?Hapo mbongo wa kutoka chato kijijini hata kuelewa!
Nimeona iphone 13 promax kwenye MKBH anadai ndiyo kinara ya kukaa na chaji kwa sasaHiyo iphone ni kopo sio simu. Mimi natumia samsung na hua nacharge mara 1 kwa siku na naitumia ipasavyo. Sijawah miliki power bank naonaga watumiaji wa iphone wengi wana power bank. Poleni5
Wewe kama mimi yani ukikuta simu ina nyumbo hazifiki hata 10, mimi naitumia simu kama hotspot muda mwingi, apps nilizonazo ni za msingi. Yani matumizi yangu kwa simu ni kubrowse labda jf sana na mitandaoni mingine ya habari.Mimi simu zangu huwa matumizi yake ni kupiga na kuperuzi mtandaoni mara chache, mambo mengine yaliyobaki nafanya kwenye kompyuta. Mimi siyo mpenzi wa kupiga picha, hata simu yenye storage gb 16 bado hiyo storage ni kubwa kwangu. Apps zangu za muda wote ni WhatsApp, telegram na Jf tu. Na simu zangu huwa sizimi data hadi muda wa kwenda kulala.
Sioni umuhimu wa kuwa na simu yenye nguvu kubwa wakati sina matumizi makubwa.
ila si ulishagundua kuwa ina 3500mha? kama ulishagundua hilo ukanunua bas shida sio kwa samsung bali shida ni kwako mwenyewe......sababu samsung hao hao wana simu za 5000mah na zinakaa vizur tu na chajHabari za muda huu sons and beautiful daughters of men.
Ninyoke kwenye mada. Hivi hawa samsung wameshindwa kabisa kutengeneza batteries au vip yaani simu kama note 10 ina 3500mah s10 3400mah ? Simu hizi na nyinginezo ni nzuri lakini kwenye batteries capacity ni shida.
Wenda kuna sababu siijui ebu karibuni kwa michango na mitazamo yenu
Battery si tatizo, bali tatizo ni pale kioo kitakapo pasukaHabari za muda huu sons and beautiful daughters of men.
Ninyoke kwenye mada. Hivi hawa samsung wameshindwa kabisa kutengeneza batteries au vip yaani simu kama note 10 ina 3500mah s10 3400mah ? Simu hizi na nyinginezo ni nzuri lakini kwenye batteries capacity ni shida.
Wenda kuna sababu siijui ebu karibuni kwa michango na mitazamo yenu
sasa jamaa yupo sahihi kivip? yeye kasema masaa 36 & wewe unasema masaa 24 sasa usahihi upo wapi hapo mbona mnatuzingua? kwaiyo tuelewe inakaa masaa 24 au inakaa masaa 36? lakin bado turud kwenye hoja ya chief mkwawa simu kukaa na chaji inategemea na technology iliyotumika kwenye iyo simu! na maranyingi simu za ivyo zinakuwa slow yaan ww unaweza ukahis una enjoy kuperuz kumbe speed yako haiko vizur ukilinganisha na tambo la mtu mwingineJamaa yupo sahihi kabisa. Natumia Oppo, data on nasurf net na ishu zingine na inakaa zaidi ya saa 24.
Ila tech ina mchango mkubwa katika ukaaji chaji.
650 si ni bora nikatafute samsung tu.....!! kwan oppo si ni mediatake?Oppo ni simu na nusu mjomba[emoji28] next phone kainunue hata ya laki 650 tu then utakuja kuleta mrejesho!
Kalia ujinga huo huo😅 wanaojua simu wanajua kuna Simu halafu kuna Oppo! Samsung ya 650 huwezi kupata simu ya maana!650 si ni bora nikatafute samsung tu.....!! kwan oppo si ni mediatake?