Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,718
Habari za muda huu sons and beautiful daughters of men.
Ninyoke kwenye mada. Hivi hawa samsung wameshindwa kabisa kutengeneza batteries au vip yaani simu kama note 10 ina 3500mah s10 3400mah ? Simu hizi na nyinginezo ni nzuri lakini kwenye batteries capacity ni shida.
Wenda kuna sababu siijui ebu karibuni kwa michango na mitazamo yenu

? SIMU HIZI NA NYINGINEZO NI NZURI LAKINI KWENYE BATTERIES CAPACITY NI SHIDA.
iko poa samsungs zote zenye mAh chinni ya 4000 tunatembea na chaji ukiwasha data kuanzia asubuhi ww mchana unachaji.masaa kumi hayafiki