Samsung wamezindua simu Galaxy S26 Series!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,273
Reaction score
89,324
Ni February nyingine, Samsung wanatuletea S Series. Wamekuja na S26, S26+ na S26 Ultra.

IMG_6689.jpeg

Kusema kweli mabadiriko ya kimuonekano ni madogo sana ukifananisha na S25 kwahiyo vichache vya kuandika.
 
Ni February nyingine, Samsung wanatuletea S Series. Wamekuja na S26, S26+ na S26 Ultra.

View attachment 3548781
Kusema kweli mabadiriko ya kimuonekano ni madogo sana ukifananisha na S25 kwahiyo vichache vya kuandika.
Sikuhizi makampuni pekee yanayoleta design mpya ni makampuni ya Kichina. Wachina hata kwenye kuongeza vitu vipya wapo vizuri sana, ni vile tu flagship zao sio popular sana nje ya China

Samsung, Apple na Google wametafuta recognition na wameamua kubaki nayo. Sio kitu kibaya, ni uamuzi wa kampuni ila binafsi nimefurahi design ya iPhone 17 Pro Max ilivyobadilika kidogo, naona imekuwa nzuri zaidi
Kwa Samsung kuanzia S22 Ultra design ilikuwa perfect tayari. Inafaa kutumika hata 2026, at least according to me
 
Kampuni gani kwa mfano
 
Samsung amebet kwenye AI, sababu ndio inayomuongezea mauzo sasa hivi, toka S22 mauzo Yao yanaongezeka kwa Kasi Sana kwenye flagship, na Ai ikitoboa italazimu na wengine kufuata trend, wengine wakifuata trend itabidi waje kwa Samsung kununua hardware, mwisho wa siku anajipigia pande mwenyewe.
 
Kampuni gani kwa mfano
Mfano Xiaomi 17 Pro na Pro Max zilivyokuja na big rear display ili uweze kurekodi selfie videos at 8K resolution kwa kutumia main camera

Au Xiaomi 17 Ultra ilivyokuja na ring kwa nyuma around the camera ambayo ukiizingusha unaweza kuitumia ku zoom, ku adjust exposure (EV), manual focus, white balance (Kelvin) au quick shortcut to launch the camera app

Au feature ya wave and share ya Huawei inayorahisisha ku share vitu kutoka simu moja ya Huawei kwenda simu nyingine ya Huawei
 
View attachment 3549193
Au Xiaomi 17 Ultra ilivyokuja na ring kwa nyuma around the camera ambayo ukiizingusha unaweza kuitumia ku zoom, ku adjust exposure (EV), manual focus, white balance (Kelvin) au quick shortcut to launch the camera app
View attachment 3549194
Au feature ya wave and share ya Huawei inayorahisisha ku share vitu kutoka simu moja ya Huawei kwenda simu nyingine ya Huawei
View attachment 3549195
Hata hivyo rear screen siyo feature mpya
 
Ilikuwepo kwenye Xiaomi 11 Ultra lakini ilikuwa limited sana, hii sasahivi wameiongezea functionality nyingi zaidi.

Hata hivyo wachina wanajitahidi lwenye idea mpya kwa miaka ya karibuni, ni kama tu Samsung walivyoleta curved screens, flip phones na foldables miaka ya nyuma

Chinese phones zikaleta variable aperture kwenye rear cameras, wakaleta simu ambazo unaweza kupachika lens za kamera kwa nyuma, wakaleta photography kit, wakaleta hii wave and share, sasahivi wameleta tena ring kwenye camera ambayo ukiizingusha ni multipurpose

Sisemi kuwa simu za China ni perfect, nasema tu wanajitahidi kuja na simu zenye unique features tofauti badala ya kuwa simu za kufanana fanana.
Na pia sisemi kuwa kurudia design za simu kila mwaka ni vibaya, it's not bad at all
 
Sikuhizi makampuni pekee yanayoleta design mpya ni makampuni ya Kichina. Wachina hata kwenye kuongeza vitu vipya wapo vizuri sana, ni vile tu flagship zao sio popular sana nje ya China

Samsung, Apple na Google wametafuta recognition na wameamua kubaki nayo. Sio kitu kibaya, ni uamuzi wa kampuni ila binafsi nimefurahi design ya iPhone 17 Pro Max ilivyobadilika kidogo, naona imekuwa nzuri zaidi
Kwa Samsung kuanzia S22 Ultra design ilikuwa perfect tayari. Inafaa kutumika hata 2026, at least according to me
Mbaya zaidi wachina nao wameanza kuwakopi Apple na Google,xiaomi anataoa simu unaweza jua ni iPhone 16,Wakina vivo nao wanafyatua simu design kama google tu,yani juzi napitia pitia masoko ya China nakutana na simu unaweza jua iPhone au google .
 
Yeah wachina wako obsessed sana na kucopy simu za makampuni makubwa, wakati wanao uwezo wa kutengeneza simu zenye recognition yao wenyewe.
Sijui kwa nini wako obsessed na copying ila simu zao ni nzuri

Speaking of copying hata Google nao wamecopy design za iPhone kwenye hizi Pixel 9 na 10 jinsi zinavyofeel mkononi. Flat sides look and feel like iPhones
Pia kwenye Pixel 10 wameleta MagSafe kama ya Apple wakaongeza na Pixeldrop kwenye Quickshare kama copy ya Apple's Airdrop
 
Back
Top Bottom