Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,074
- 43,531
Vyote hivi wamecopy kwa Nokia lakini,Ilikuwepo kwenye Xiaomi 11 Ultra lakini ilikuwa limited sana, hii sasahivi wameiongezea functionality nyingi zaidi.
Hata hivyo wachina wanajitahidi lwenye idea mpya kwa miaka ya karibuni, ni kama tu Samsung walivyoleta curved screens, flip phones na foldables miaka ya nyuma
Chinese phones zikaleta variable aperture kwenye rear cameras, wakaleta simu ambazo unaweza kupachika lens za kamera kwa nyuma, wakaleta photography kit, wakaleta hii wave and share, sasahivi wameleta tena ring kwenye camera ambayo ukiizingusha ni multipurpose
Sisemi kuwa simu za China ni perfect, nasema tu wanajitahidi kuja na simu zenye unique features tofauti badala ya kuwa simu za kufanana fanana.
Na pia sisemi kuwa kurudia design za simu kila mwaka ni vibaya, it's not bad at all
Kampuni zote za Kichina, Xiaomi, Huawei, kina Oppo etc Research centre zao zipo Finland, wanatumia wafanyakazi wa zamani wa Nokia Kutumia feature za zamani za pureview, ukiangalia lens Hadi kina Vivo wanatumia Zeiss.
Hata Ku wave nakumbuka Nokia N9 ilianzisha hizo gestures,