Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Sawa lakini kwa case ya Samsung na iPhone Samsung ndio bora zaidi
Mwisho wa siku mtu unaangalia unapenda nini Ila overall bado Samsung ni zaidi ya Apple ukilinganisha devices zao

Hujaeleza kwanini ni bora kuliko iphone. Kuna kitu kinachosababisha watu wanunue iphone na kuna kitu kinasababisha watu wanunue samsung.

Samsung inakupa flexibility wkt iphone based on security zaidi.
Lazima ziwe tofauti. Mwisho wa siku user anatakana nini
 
Kibongobongo customisation is better than security
Pia One UI ina features nyingi nzuri kuliko iOS mfano Samsung DeX
 
Kuiflash nasikiaga ni ngumu kinoma yaan labda hyo
Hizo tunazotoa icloud permanent, mpaka iPhone 14 Pro max tunaruka nazo kibingwa muhimu mteja afike bei

Simu ambazo hata zikiingia password tu haziflashiki kwa sasa ni Sharp/Arrows, hizi ndo mpaka sasa ni pasua kichwa na ndo simu zenye security kubwa kuliko zote duniani
 
Kibongobongo customisation is better than security
Pia One UI ina features nyingi nzuri kuliko iOS mfano Samsung DeX

Kibongo bongo customization inatumika sana kwasababu elite class inayo hitaji top tier privacy ni ndogo sana.
And ni wachache sana wanaojali hiyo kitu.
Wakati kwa wenzetu ulaya ni vice versa. Privacy ni moja ya component muhimu sana.

Is why narudi pale pale its depends na user anataka nini
 
Hizo tunazotoa icloud permanent, mpaka iPhone 14 Pro max tunaruka nazo kibingwa muhimu mteja afike bei

Simu ambazo hata zikiingia password tu haziflashiki kwa sasa ni Sharp/Arrows, hizi ndo mpaka sasa ni pasua kichwa na ndo simu zenye security kubwa kuliko zote duniani

Ameshindwa kujieleza na kutofautisha privacy na security za iphone.
 
Narudia n matunzo ya mtu, simu zangu siwekag protector na hazijawah kupata hata scratch tu na hakuna watu wana simu zimelika pemben ya vioo kama watu wa iphone
, eti unaongoza , kwamba ujisemeee tu upuuz alafu useme unaongoa

Fact n kama

Ram , leo iphone 14 zina RAM 4 mpaka 6 , wakati samsung ram hizo zilikua kwenye matoleo kuanzia 2016, leo iko kwenye RAM 16

Technology ya vioo iliyopo kwenye iphone 14 ambayo ndio inatumika kwa mara ya kwanza na iphone , samsung ako nayo since 2016

Wakat Iphone kwa mara ya kwanza amevuka megapix 12 kwenye iphone pro max, samsung mwaka 2020 kwenye galaxy s20 ultra aligonga megapix 108 na samsung s20 5g yenyewe ni megapix 48 ambayo leo ndio pro max 14 amekuja nayo , s20 n simu za 2020

Wakat iphone bado ako kwenye 4k@60 fps
Samsung alishafika 8k@24fps ambayo unaweza recodia movies ukauza netflix Amazon etx ikachezwa

Samsung za kuanzia 2020 hiz galaxy s series zinaenda hadi 920 fps kitu ambacho bado iphone anaota labda iphone 30 huko ndio atakuja kuwa nacho

Nimekuchapa ngapi hapo.?

Ninyamaze tu , unatumia iphone 12 yenye vioo vinavyofanana na infinx unakuja vimbia watu wa samsung? Acha bange
Mkuu vipi kuhusu green lines kwenye screen za sumsung?

Imekuwa kilio.
 
Back
Top Bottom