Samsung vs Huawei

Samsung vs Huawei

Nijuavyo mimi Samsung ni miongoni mwanangu kampuni kubwa sana kiasi kwamba kulinganisha na Huawei ni matusi ya nguoni.
hivi unaijua kampuni ya huawei vizuri? Sio tecno hiyo, yaani hao sumsang wanasubiri sana kwa huawei. Kilichowasaidia samsung waliwahi kuingia sokoni.
 
Hii table itakuelewalesha
2f598e599fb7c8098f5496b97b191042.jpg

Kwenye Android Samsung ndio #1 anaefuata ndio Huawei. Lakini kidunia kwenye maswala ya smartphone Huawei ni wa tatu.

Ukichukua Flagship zao Galaxy S7 vs Huawei P9 kwa mauzo+innovation Samsung pia anashinda.
 
Samsung wana good display and camera ila huawei wana good speed na good battery from uzoefu wa kuwatumia
 
Back
Top Bottom