Samsung TV vs LG TV ipi ni bora?

Kwa uzoefu wangu tu chukua LG ya Korea.

Mwaka 2014 nilichukua LG bila kujua brand ya South Africa aisee mwaka mmoja baadae iliungua kadi ikabidi nibadili miaka miwili mbele ikaungua zile LED strips nazo ikabidi nibadili. Matengenezo yako pia ni expensive kidogo.

Mwaka 2019 niliamua kununua LG tena Nanocell hii nilihakikisha ni brand ya Korea. Ipo mpaka sasa inapiga kazi very impressive hutajuta na ina features nyingi sana ambazo zitakupa a real value of ur money
 
Naombeni kuuliza hisense yangu inapata changamoto inafifia mwanga kona mbili za juu yaani kushoto na kulia juu Pembeni mwa tv je hili tatizo linaweza rekebishika?
 
Ni inchi 43 smart ,vyovyote vile iwe TV au movie sema sio rahisi kugundua ila kwangu nafsi haijaridhika natamani kioo chote kiwe sawasawa
Itakua ni taa hizo,
Ni mwanga wa giza au kama blue hivi?
 
Kwa uzoefu wangu tu chukua LG ya Korea.

Mwaka 2014 nilichukua LG bila kujua brand ya South Africa aisee mwaka mmoja baadae iliungua kadi ikabidi nibadili miaka miwili mbele ikaungua zile LED strips nazo ikabidi nibadili. Matengenezo yako pia ni expensive kidogo.

Mwaka 2019 niliamua kununua LG tena Nanocell hii nilihakikisha ni brand ya Korea. Ipo mpaka sasa inapiga kazi very impressive hutajuta na ina features nyingi sana ambazo zitakupa a real value of ur money
Hiyo ya mwaka 2014 ilikuwa Samsung au LG?

Akili yangu inaniambia ulitaka kusema Samsung
 
Kama una Budget nenda Kwa mawakala Official, kwa LG maduka ya Mo kama Moja lipo Nkurumah mjini na Nasra tower kkoo. Mo pia ni agent wa Tcl ila sijui kama anaziweka kwenye showroom zake.

Kama Samsung nafkiri Bado wapo Jmall mjini.
Samsung duka lao bei zao za kijambazi, nenda harbour view ulizia mars communication ni wakala wa samsung na hisense utapata kwa bei kidogo pungufu. LG km alivyosema hapa mdau kwa Mo. Pia km utataka samsung hii model ni bora 43t5300 popote utakakopita waambie watest picha yake imetulia, ni ips panel
 
Sidhani kama ni Wakala, maana site husika za haya Makampuni wanaweka list ya mawakala wao, wa Samsung ni Hawa

Inategemea Ni toleo la wapi,
Wote Samsung na LG wana matoleo kutokana na

1. Imetengenezwa wapi,
-samsung ya UK haiwez kufanana na samsung ya Korea au China au Taiwan

2. Imetengenzwa kwa ajil ya soko la wapi
- Samsung made in UK for European market haiwez fanana na Samsung made in UK for African market au Asian market
Ni Kama ilivyo kwa hizi simu mpya za Samsung zinazotengenezwa kwa soko la afrika zilivyo famba sana. Mf:samsung A-series

3. Tv imetumia Teknolojia gani
-TV Ya LG yenye teknolojia ya LCD haiwezi fanana na LED, UHD, FHD,QHD au NANOCELL
Apo juu kila Moja Ina ubora sehem yake, na madhaifu sehem yake, inategemea mwnyw unanunua kwa matumiz gani.
 
Duka zuri la TV original kwa Dar ni lipi? Ikiwa posta au Kariakoo itakua poa zaidi.
Tofauti na wale certified dealers wanaouza bidhaa za kampuni TU, Maduka mengi wanachanganya Sana brands.

Ni wewe kuweza Kung'amua kipi Ni orijino kipi Ni famba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom