Samsung TV vs LG TV ipi ni bora?

Samsung TV vs LG TV ipi ni bora?

Kama una Budget nenda Kwa mawakala Official, kwa LG maduka ya Mo kama Moja lipo Nkurumah mjini na Nasra tower kkoo. Mo pia ni agent wa Tcl ila sijui kama anaziweka kwenye showroom zake.

Kama Samsung nafkiri Bado wapo Jmall mjini.
Thanks mkuu!
 
Habari za saa hizi wanajf!

Nahitaji kununua TV ila sijajua kati ya hizo kampuni mbili ipi ni nzuri kwenye ubora wa picha na kudumu.

Nasikia Samsung TV ipo ya kichina, UK, Korea na South Afrika. Kuna ukweli kwenye hili?

Maoni yenu wanajf tafadhali.
Wote wakorea ukipata OG hakuna inayomzidi mwenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom