isheep?Acha kulinganisha iphone na upumbavu
acha tu Mkuu yaani apple sikuhizi wakitoa update Mpya ukiangalia unaona ni kama hamna kitu kipya walichoongeza. Kwenye 16.4 una update ili kupata emoji za farcis kweli . Sina uzoefu sana na samsung ila kwaupande wa apple wanajitahidi sana kwenye upande wa hardware na durability ya device.Juzi iphone wametoa ios mpy 16.4 chaajabu na cha kushangaza vitu vipya walivyoweka vinapatikana kwenye android kit kat uko ambayo ilitoka miaka zaid ya 5 nyuma...
.
So far ubora wa iphone unabebwa na jin lake na kuwa ni bidhaa ya mmarekani ila kiukwel iphone ni simu ya kawaida hakun kitu ambacho kipo kweny iphone hakipo kweny samsung
technical specifications zimekaa kitaalamu sana asee kiasi kwamba Simu inaweza ikawa na technical specs Nzuri kuzidi Simu Nyingine na bado ikawa na perfomance mbaya kuliko Simu yenye specs za kawaida. Kwahyo ukisema uchague simu kwa kuangalia tech specs unaweza ukajichanganya tu. Ni bora kuikagua Simu kwa kuishika mkononiIngia website ya gsm Arena ufanye comparison ya hzo simu 2, kule wameainisha kila kitu.
Chief-Mkwawa ni expert. Vitu vingi huwa ninamuuliza yeyeNimewahi kuuliza swali hili, ni vena uwe unasearch keyword kwanza ili ujue kama Kuna mjadala ushawahi tokea ili kama hakuna ndouuliza na kama upo usome komenti. Anyway ngoja aje Reuben Challe akujibu japo wengi wanamwona chifu mkwawa ndo.expert ila mm ni Reuben
iPhone za miaka ya nyuma hizo. iPhone 14 Pro Max inatunza sana chaji kama tu hizi Infinix za laki 3. Kwa mfanoBaadh ya watumiaj wa iphone wanalalamika percentage za battry zinashuka haraka san hvo sim inapungua thaman na chaji hazikai.. chukua galaxy hio mzee
Wataalamu ebu nishaurini. Nina iphone 12 pro max nataka kununua iphone 14 pro max au samsung s22 ultra.
Which way should I go!
iPhone za miaka ya nyuma hizo. iPhone 14 Pro Max inatunza sana chaji kama tu hizi Infinix za laki 3. Kwa mfano
*Kwenye kuperuzi mtandaoni iPhone 14 Pro Max inadumu na chaji kwa masaa 15 na dakika 2 wakati S22 Ultra inadumu masaa 11 na dakika 20
*Kwenye kuangalia video iPhone 14 Pro Max inadumu masaa 21 na dakika 10 wakati S22 Ultra inadumu masaa 14 na dakika 43
*Kwenye kucheza games iPhone 14 Pro Max inadumu masaa 7 na dakika 13 wakati S22 Ultra inadumu kwa masaa 5 na dakika 53
*Standby time ya iPhone 14 Pro Max ni masaa 156 wakati standby time ya Samsung Galaxy S22 Ultra ni masaa 109.
*Ikiwa unataka flagship ya Samsung inayotunza chaji kama iPhone 14 Pro Max basi nunua Samsung Galaxy S23 Ultra na sio S22 Ultra.
Sikuhizi iPhone anawakimbiza sana kwenye suala la ukaaji chaji upande wa flagship.
iOS wakitoa restrictions kama EU wanavyotaka hizi simu nitaanza kuzipenda tena.Umeeleza vizuri sana na pia kwa upande wa software ya iOS unaweza kuwa customization kidogo kama ya android hapo ya sumsung inatisha sana hapo watabiri wa mambo wanadai iOS 17 itakuwa android kabisa