iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,914
- 2,142
Chukua iPhone 14 Pro Max.
*Hapo iPhone 14 Pro Max inatoa picha nzuri, inarekodi video nzuri, software yake inakuwa supported muda mrefu zaidi kuliko ya Samsung, inatunza chaji kwa 39% zaidi ya S22 Ultra, inatumia Bluetooth version mpya zaidi (v5.3), na bado ina performance kubwa zaidi ya hiyo Samsung, display yake inafikia peak brigtness ya 1748nits ambayo ni 39% kuliko ya Samsung ambayo ni 1254nits n.k
iPhone 14 Pro Max inashindanishwa na Samsung Galaxy S23 Ultra na sio S22 Ultra.
Kweli hapo ndio vita yake itakuwa inatisha japo
Apple na hizi features kama satellite emergency,crash detection ambazo makampuni mengine hayajawa na ubunifu kufikia innovation hii
Na pia dynamics island ya iphone 15 pro max itakuwa na maboresho ya hali ya juu zaidi
