Samsung ni zaidi ya simu huko Korea Kusini

Sasa mnavyosema Marekani inaweza kuiangusha S. Korea, wataiangushaje? Maana kikubwa wanachoweza labda kubania Samsung upande wa electronics, tena ni simu na tablets pekee, labda na laptop kama walivyofanyia Huawei
Samsung is bigger than that. Hiyo kampuni ndio imeshafikia hapo, huwezi kuiangusha hata kama ni super power
Samsung na Sky Hynx ndio watengeneza Memory wakubwa Duniani, Nani ananunua hizo memory? Apple, HP, Nvidia, Dell na wengineo wa Taiwan. LG na Samsung Nani ananunua Display zao? Hao hao USA, Automotive Wana export kwa Nani zaidi hao hao North America.

Hizo kampuni zao zimekuwa wired kuto exist bila USA, Kesho USA akimpiga ban Korea ana Hali ngumu Sana.
 
Hujaelewa. Hiyo yote ni part ya Samsung Electronics. Na wanunuaji ni wengi sio tu Marekani
Hata Asia kuna makampuni mengi ya vifaa vya umeme

Samsung ni more than just Electronics. Kwa hiyo hata wakiangusha Electronics hawawezi kuuangusha yote, watapunguza tu mauzo yao ya Marekani ila Asia makampuni yapo ya kutosha
Pili, Samsung haitegemei Electronics pekee, so still haiangushiki
 
Samsung ni semiconductor company, bidhaa zao zote zina revolve around that, processor, display, ram etc hakuna chochote cha maana Wanachotengeneza ambacho haki revolve around semiconductor. Kama huamini Google mwenyewe upate information achana na stori za vijiweni.
 
Back
Top Bottom