Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
Hiyo Samsung grand prime plus ya mwaka huu inafaa na ni ya wastani inaweza kuhandle kila kitu vizuri
Hueleweki ni simu tochi tv friji au homu thieta?Hiyo Samsung grand prime plus ya mwaka huu inafaa na ni ya wastani inaweza kuhandle kila kitu vizuri
Nyosha maelezo...Hiyo Samsung grand prime plus ya mwaka huu inafaa na ni ya wastani inaweza kuhandle kila kitu vizuri
Mediatek??hiyo si majanga mkuu?ni cheap mediatek phone, sidhani kama itakidhi mahitaji yote
Kwahiyo smartphone kama hii inakuwa nzuri kwa mambo yapi?ni cheap mediatek phone, sidhani kama itakidhi mahitaji yote
ni cheap mediatek phone, sidhani kama itakidhi mahitaji yote
mambo madogo tu mkuu, ram yake ni kubwa na cpu yake ni average ila gpu ni ndogo na sababu ni mediatek kuna vitu kama virusi, jiandae. nimeiona madukani 250,000 bei sio mbaya compare na competition zinazopatikana madukani.Kwahiyo smartphone kama hii inakuwa nzuri kwa mambo yapi?
ndio mkuu,Samsung na wao wanabana matumizi kwa kuweka hizo chip?
yap ni majanga, simu ya mediatek nunua ikiwa inakupa perfomance kubwa kuliko competition, mfano kuna simu za mediatek helio x20 chini ya laki 4 hilo ni deal nzuri lakini hawa kina samsung, Tecno, Htc, huawei, Lg etc sio tu kwamba wanaeka mediatek, wanaeka mediatek zile ndogo kabisa ambazo hata perfomance nzuri ya kila siku hutaipataMediatek??hiyo si majanga mkuu?
Mkuu vipi hizo ulizozitaja ukizilinganisha na Tecno Phantom 6 plus. Ipi ya kununua kiubora na thamani ya hela?mambo madogo tu mkuu, ram yake ni kubwa na cpu yake ni average ila gpu ni ndogo na sababu ni mediatek kuna vitu kama virusi, jiandae. nimeiona madukani 250,000 bei sio mbaya compare na competition zinazopatikana madukani.
ila kama una uwezo ni bora utafute simu za xiaomi mkuu, redmi 3 au redmi 4a ina specs za maana kushinda hadi simu za laki 5 au 4 za samsung na wengine wanaopatikana Tanzania. na bei zake zote ni chini ya dola 100. zipo kenya tu hapo official kama una uwezo jitahidi kutafuta hizo.
overall phantom 6 ni nzuri kushinda hizo ila ukipanda juu kidogo tu toka dola 100 hadi 150 unakutana na xiaomi redmi note 3 ambayo ni nzuri kushinda Tecno yoyote ile iliopata kutengenezwa.Mkuu vipi hizo ulizozitaja ukizilinganisha na Tecno Phantom 6 plus. Ipi ya kununua kiubora na thamani ya hela?
Asante sana mkuu Chief-Mkwawa.overall phantom 6 ni nzuri kushinda hizo ila ukipanda juu kidogo tu toka dola 100 hadi 150 unakutana na xiaomi redmi note 3 ambayo ni nzuri kushinda Tecno yoyote ile iliopata kutengenezwa.
Afu mkuu hizo bei mbona nikitafuta kupatana nakutana na laki 7 na kuendelea wakati we unaweka chini ya laki 7?overall phantom 6 ni nzuri kushinda hizo ila ukipanda juu kidogo tu toka dola 100 hadi 150 unakutana na xiaomi redmi note 3 ambayo ni nzuri kushinda Tecno yoyote ile iliopata kutengenezwa.
bei ya Tecno au xiaomi? zote nadhani hazipo s.Africa.Afu mkuu hizo bei mbona nikitafuta kupatana nakutana na laki 7 na kuendelea wakati we unaweka chini ya laki 7?
Vp nikimuagiza mtu S.Africa naweza pata kwa bei nafuu kuliko Kenya?
Mkuu kama hutamind naomba picha na specification za Xiami redmi note 3overall phantom 6 ni nzuri kushinda hizo ila ukipanda juu kidogo tu toka dola 100 hadi 150 unakutana na xiaomi redmi note 3 ambayo ni nzuri kushinda Tecno yoyote ile iliopata kutengenezwa.
Chief, shukran sana kwa elimu utupayo mara kwa mara kuhusiana na hizi simu. Kama hautajali vipi ubora na "value for money" ya Samsung s7 edge?bei ya Tecno au xiaomi? zote nadhani hazipo s.Africa.
kwa specification s7 edge ndio best phone kwa sasa sokoni, japo muda si mrefu itatoka s8 kama miezi mitatu hivi bado.Chief, shukran sana kwa elimu utupayo mara kwa mara kuhusiana na hizi simu. Kama hautajali vipi ubora na "value for money" ya Samsung s7 edge?
Mkuu kama hutamind naomba picha na specification za Xiami redmi note 3