Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,305
Samsung wanatoa simu Kali sana
inakaa na chaji masaa 14 nikiwasha dataS6 gani?
Wanasema S6 hazikai na chaji, ya kwako inakaakaa na chaji?
Siyo mbaya sana.inakaa na chaji masaa 14 nikiwasha data
nisipowasha data inakaa chaji masaa 30
Samahani mkuu natoka nje ya boksi kidogo.ulaya pia wanatumia exynos, North America ndio wanatumia snapdragon sababu ya cdma. Mitandao kama Verizon na sprint bado inatumia hizo Technology. Ni rahisi kutumia snapdragon kwa samsung kuliko ku licence Technogy ya CDMA toka kwa Qualcomm.
Hii Exynos Mpya ya s9 ni Balaa, ipo level nyengine kabisa, sema ni kwenye cpu tu. vitu kama GPU, modem, camera, etc Bado watakuwa Snapdragon wapo juu.
Mkuu smart hata website ilipotea Ila naona Sasa Hivi imerudi na wanatangaza vitu vyengine Kama wimax, fiber, p2p radio etc hivyo huwenda wameamua kudeal na biashara ya business to business,Samahani mkuu natoka nje ya boksi kidogo.
Hivi hawa Zantel na ttcl mitambo yao ya CDMA bado inafanya kazi au wameipiga chini kimoja?
Pili hawa Smart bado wapo kwenye game au nao wamepotea kama Tritel na Sasatel?