Samsung Galaxy S9 na S9 Plus, Muonekano, Bei na Features mpya

Kuna kitu sijakielewa sina ufahamu sana na haya mambo ya gadgets. Mbona specs ni kubwa kama hiyo 6GB RAM lakini battery ina ukubwa wa kawaida 3000mAh na 3500mAh.
 
Mimi apa nnatumi note 4 kwa matumizi ya hapa tz sioni tofauti au faida unayopata wewe wa s8 tuko same same tu labda walete s27 ambayo itakua inaniendea sokoni,inaniendeshea gari, inanidekia nyumba,inanioshea vyombo,inanipikia na kupasi nguo inaninawisha uso nnabaki tu kwenda kazini,kanisani,kwenye biashara kufanya majukumu yangu
 
Mkuu kwa mtizano huo kwanini usitumie techno M3 tu badala yake ukaamua kutumia note 4 ambayo pia bro yake ni kubwa?
 
Maneno ya mkosaji haya
 
kila mtu anasema hiyo S9 Mabadiliko hayajamvutia sana wala sio makubwa sana wanasema wanasuburi S10 Huko na kuendelea .. Namimi nasema hivyo hivyo kama wao tu nasubiri S12 Huko tusisumbuane
 
Hao jamaa sijui betri ndio zilishawashinda kutengeneza, aisee!
 
Mkuu kwa mtizano huo kwanini usitumie techno M3 tu badala yake ukaamua kutumia note 4 ambayo pia bro yake ni kubwa?
Apana mkuu samsung ni simu bora ila wabongo tunapotea na kudanganyika kwenye kitu kidogo sana ili kufanya matumizi mabovu ya pesa. uwezi kuniambia mimi mtu ninae ishi kwenye nchi inayoangaka kuelekea kwenye uchumi wakati mwaka jana nimenunua simu kwa 1.6 M mwaka huu nikanunue nyingine kwa 1.9M kisa ni toleo jipya na tofauti zake megapixel za kamera labda kama wewe ushatusua pesa unazo ingawa bado ni utumwa wa fikra.ila kwa maisha bongo ni kawaida mtu ana simu ya laki nane af anaomba mtaji wa laki tatu akafanye biashara
 
Umenena vyema mkuu. Mimi hata robo ya kutusua sijaionja uwezo wa kutoa 1.6 ninunue simu sina kabisa mkuu.

Ile maranyingi ninyi wenye sim kali mkitaka kununua nyingine hizo mnauza kwa bei nzuri kidogo halafu mnaongezea. Ila ukweli ni kuwa ukiruhusu teknolojia ikuendeshe utafilisika mapema labda uwe vizuri sana kifedha
 
Mimi apa nnatumi note 4 kwa matumizi ya hapa tz sioni tofauti au faida unayopata wewe wa s8 tuko same same tu labda walete s27 ambayo itakua inaniendea sokoni,inaniendeshea gari, inanidekia nyumba,inanioshea vyombo,inanipikia na kupasi nguo inaninawisha uso nnabaki tu kwenda kazini,kanisani,kwenye biashara kufanya majukumu yangu
Inakupa na kitambi...!
 
Sina lakuchangia ninabaki kusoma coments tu.

Pole pole ndio mwendo, na sisi japo za kuokota tutaokota tutumie lakin duh milion kwenda juu kwa kununua simu sijawaza bado.

Hebu wasamaria jetoleen kwa vichango mtununulie na sisi mambo ya S.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom