chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,450
- 1,753
Atakuwa amepata Ile ya kichina. Maana zili leak mapema na ndio maana wameamua kuzitoa mapemaNdugu umeipataje sim sado haijatoka.
Atakuwa amepata Ile ya kichina. Maana zili leak mapema na ndio maana wameamua kuzitoa mapemaNdugu umeipataje sim sado haijatoka.
Mkuu kumbe ulishafika kwenye S8 daahYaani hata hawajaacha tufaidi S8 washa kimbia kwenye s9
Atakuwa amepata Ile ya kichina. Maana zili leak mapema na ndio maana wameamua kuzitoa mapema
Waliwahi kuipiga kupi. mpaka hapa kuna kopi tayariChina zilitoka mapema au unamaanisha fake
Haijamaliza hata miezi mitatu. yaani hapa roho inauma.Mkuu kumbe ulishafika kwenye S8 daah
Mkuu miezi mitatu means uliinunua December? Wenzako tulinunua tangu April!! But huna haja ya kununua S9 coz ipo identical sana to s8......Haijamaliza hata miezi mitatu. yaani hapa roho inauma.
December. lkini ndio hivyo kitu kipya kimenitoa udendaMkuu miezi mitatu means uliinunua December? Wenzako tulinunua tangu April!! But huna haja ya kununua S9 coz ipo identical sana to s8......
Hakuna jipya zaidi mkuu mi mwenyewe niliisubiri kwa hamu but haijanivutia kiivyo zaidi ya camera na hizo emoji.... but nafikiri S10 ndo itakuja na massive changes including inside finger print scannerDecember. lkini ndio hivyo kitu kipya kimenitoa udenda
Usifananishe samsung na vitu vya kijingasema ipo kama tecno L9+
Sio rahisi kupatamwenye samsung s6 nina laki 320,000
Kwahiyo tununue tecno L9+ ?sema ipo kama tecno L9+
Mkuu vp ushakamata S9? Je hii kitu yako ni S8 ama ni S8 plus? Naamini kwa mwana JF mwenzako unaweza kushuka kidogo900 tu.... kitu kipyaa
mwambie mkuu,Usifananishe samsung na vitu vya kijinga
Pambana na hali yako[emoji57]S6 tu sina jaman samsung mshafika kwenye S9 Mtatuuaa
Mkuu bila ninyi kuhama mkatuachia hizo kwa bei nzuri, mnadhani tutafikaje huko?Mpaka sasa sijaona cha zaidi ku compared to s8.... Nasubiri s12 ndio nitahama hapa nilipo..