Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,534
- 42,703
Okay shukrani mkuu. But naona A series ziko ghali mno.bila kufkiria mara mbili s7 edge ni nzuri zaidi, kila idara
Okay shukrani mkuu. But naona A series ziko ghali mno.bila kufkiria mara mbili s7 edge ni nzuri zaidi, kila idara
-On seriesOkay shukrani mkuu. But naona A series ziko ghali mno.
Sawa mkuu shukrani sana-On series
-J series
kuna na
A- series
C- series
na kuna
-S series
-note series
j na on ni za bei rahisi, mara nyingi zinatengenezwa na plastic nzuri kwa watu wasio na hela. unapata specs kubwa bei ndogo.
A na C almost specs zinafanana na J lakini zimetengenezwa kwa premium material, zina alluminium au glass, zinapata updates, wanazi optimize zinakaa sana na chaji, nzuri kwa watu wanaotaka simu nzuri bila kujali specs
Note na S series zenyewe ndio top of the line, specs kubwa, camera nzuri, design nzuri etc hizi ndio bora zaidi, zinauzwa bei ghali pia kwa wale wanaojiweza.
kama unajali specs A series sio nzuri kununua.
Mkuu naona unafananisha Zinedine Zinane na Edibily Lunyamila! Shukua S5!Nahitaji kununua cm moha wapo kati ya hizo ila bado nipo njia panda bahitaji ushauri wa kuu
Mkuu eti simu za meizu ni nzuri pia? Mfano meizu m3 note.-On series
-J series
kuna na
A- series
C- series
na kuna
-S series
-note series
j na on ni za bei rahisi, mara nyingi zinatengenezwa na plastic nzuri kwa watu wasio na hela. unapata specs kubwa bei ndogo.
A na C almost specs zinafanana na J lakini zimetengenezwa kwa premium material, zina alluminium au glass, zinapata updates, wanazi optimize zinakaa sana na chaji, nzuri kwa watu wanaotaka simu nzuri bila kujali specs
Note na S series zenyewe ndio top of the line, specs kubwa, camera nzuri, design nzuri etc hizi ndio bora zaidi, zinauzwa bei ghali pia kwa wale wanaojiweza.
kama unajali specs A series sio nzuri kununua.
compare na hao kina A8? hapana.Mkuu eti simu za meizu ni nzuri pia? Mfano meizu m3 note.
Ana maanisha wewe ni "kocho"Sijakuelewa umemanisha nini?
Khaaaa usiniambie ndicho alichomanisha.TECNO FANS/users punguzeni jazbaAna maanisha wewe ni "kocho"
Chief- Mkwawa unajua vitu vingi mpaka nakuogopa mkuu.... Hapa natamani nimpate mtu nimuuzie haka ka infinx hit s kangu ili japo nisogee kwenye hiyo meizu pro 5, maana naona kidogo itanifaa...compare na hao kina A8? hapana.
simu nzuri ya meizu ni meizu pro 5 yenye exynos 7420, hii ni equivalent na galaxy s6,
hio M3 note ni simu ya bei rahisi inayokupa specs kubwa ni nzuri compare na kina j2 au grand prime, simu za chini ya laki 3
ni simu ya 2015 mkuu ila ni nzuri, pengine hadi hapo utakapo hela zikawa zipo simu kibao.Chief- Mkwawa unajua vitu vingi mpaka nakuogopa mkuu.... Hapa natamani nimpate mtu nimuuzie haka ka infinx hit s kangu ili japo nisogee kwenye hiyo meizu pro 5, maana naona kidogo itanifaa...
Big up sana mkuu, unatusaidia wengi aisee ktk hii tasnia
Zinauzwa wapi?Mkuu eti simu za meizu ni nzuri pia? Mfano meizu m3 note.