Prince_mandela
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 167
- 117
Nahitaji kununua cm moha wapo kati ya hizo ila bado nipo njia panda bahitaji ushauri wa kuu
Sawa mkuu ngoja nifanye ivoNimekosea nimesema chukua hyo s5 ina finger print lock inayosense vyema, ram GB 2, camera mp 13 auto focus android 6 marshmallow inshort galaxy s5 iko mavi saana naielewa
Czan kama galax s5 ina njonjo izo!! MP 16 na finger print lock czan kama inayoNimekosea nimesema chukua hyo s5 ina finger print lock inayosense vyema, ram GB 2, camera mp 13 auto focus android 6 marshmallow inshort galaxy s5 iko mavi saana naielewa
Czan kama galax s5 ina njonjo izo!! MP 16 na finger print lock czan kama inayo
Kamera ya galax s5 ni 16 sio 13Tafuta specifications zake
Afanye s6 edge au s7 edge kabisa simu tamu sanaaChukua galaxy s6
kwann usilinganishe kama sababu ipo unalinganisha jina halina tija zipo simu nyingi nzuri ambazo sio maarufu sana na nzuri kuliko hizo maarufu mfano coolpad m8692-m02,one plus 3,miui,meizuAfanye s6 edge au s7 edge kabisa simu tamu sanaa
But bora s5 kuliko Tecno,angalieni na brand jmn hv mnalinganishaje hizi brand mbili??
mkuu faida ya simu za kichina ni bei tu, na ukisikia mchina maarufu ujue umaarufu wake unatokana na kampuni kubwa.kwann usilinganishe kama sababu ipo unalinganisha jina halina tija zipo simu nyingi nzuri ambazo sio maarufu sana na nzuri kuliko hizo maarufu mfano coolpad m8692-m02,one plus 3,miui,meizu
google hii coolpad 8692-m02 tafuta na simu ya kucompare niambiemkuu faida ya simu za kichina ni bei tu, na ukisikia mchina maarufu ujue umaarufu wake unatokana na kampuni kubwa.
mfano hio meizu, imekuwa maarufu sababu inatumia soc za samsung za exynos na display za samsung za amoled. hivyo ni samsung ndio amemfanya meizu awe maarufu.
same kwa xiaomi, hao oneplus etc wote wanazitegemea hizo kampuni kubwa.
ukikuta simu ya kichina inafanana specs na samsung au brand nyengine kubwa ni busara kununua hio brand kubwa kuliko kununua mchina.
angalia teardown ya oneplus 3
OnePlus 3 Teardown
ukiangalia hizo internal za ndani utakuta ni zile zile ufs memory za samsung, ram za samsung, sensor za sony etc hivyo hawa jamaa wanakupa kitu kizuri lakini wamekitoa kwa kampuni kubwa.
na hapa naongelea wachina wastaarabu kina meizu, oneplus na xiaomi hao kina tecno, itel, gionee, coolpad na wengine ndio hawana issue kabisa sababu hata viwanda na component za ndani hazijulikani zilipotoka
angalia coolpad qiku Qiku Q Terra check camera http://www.qiku.com/en/qikuterra/design.htmlmkuu faida ya simu za kichina ni bei tu, na ukisikia mchina maarufu ujue umaarufu wake unatokana na kampuni kubwa.
mfano hio meizu, imekuwa maarufu sababu inatumia soc za samsung za exynos na display za samsung za amoled. hivyo ni samsung ndio amemfanya meizu awe maarufu.
same kwa xiaomi, hao oneplus etc wote wanazitegemea hizo kampuni kubwa.
ukikuta simu ya kichina inafanana specs na samsung au brand nyengine kubwa ni busara kununua hio brand kubwa kuliko kununua mchina.
angalia teardown ya oneplus 3
OnePlus 3 Teardown
ukiangalia hizo internal za ndani utakuta ni zile zile ufs memory za samsung, ram za samsung, sensor za sony etc hivyo hawa jamaa wanakupa kitu kizuri lakini wamekitoa kwa kampuni kubwa.
na hapa naongelea wachina wastaarabu kina meizu, oneplus na xiaomi hao kina tecno, itel, gionee, coolpad na wengine ndio hawana issue kabisa sababu hata viwanda na component za ndani hazijulikani zilipotoka
check na perfomance Qiku Q Terragoogle hii coolpad 8692-m02 tafuta na simu ya kucompare niambie
angalia coolpad qiku Qiku Q Terra check camera http://www.qiku.com/en/qikuterra/design.html
Kwa nini ununue simu ambayo hata kupata details zake ni shida?google hii coolpad 8692-m02 tafuta na simu ya kucompare niambie
angalia coolpad qiku Qiku Q Terra check camera http://www.qiku.com/en/qikuterra/design.html
Umewahi tumia tecno smartphone?mkuu faida ya simu za kichina ni bei tu, na ukisikia mchina maarufu ujue umaarufu wake unatokana na kampuni kubwa.
mfano hio meizu, imekuwa maarufu sababu inatumia soc za samsung za exynos na display za samsung za amoled. hivyo ni samsung ndio amemfanya meizu awe maarufu.
same kwa xiaomi, hao oneplus etc wote wanazitegemea hizo kampuni kubwa.
ukikuta simu ya kichina inafanana specs na samsung au brand nyengine kubwa ni busara kununua hio brand kubwa kuliko kununua mchina.
angalia teardown ya oneplus 3
OnePlus 3 Teardown
ukiangalia hizo internal za ndani utakuta ni zile zile ufs memory za samsung, ram za samsung, sensor za sony etc hivyo hawa jamaa wanakupa kitu kizuri lakini wamekitoa kwa kampuni kubwa.
na hapa naongelea wachina wastaarabu kina meizu, oneplus na xiaomi hao kina tecno, itel, gionee, coolpad na wengine ndio hawana issue kabisa sababu hata viwanda na component za ndani hazijulikani zilipotoka
Nenda dukani kanunue s5 alafu nenda kanunue c9. Bei tu itakua tofauti. Achana na bei za kupatanakwann usilinganishe kama sababu ipo unalinganisha jina halina tija zipo simu nyingi nzuri ambazo sio maarufu sana na nzuri kuliko hizo maarufu mfano coolpad m8692-m02,one plus 3,miui,meizu
kwa muda gani? sijawahi kununua simu ya tecno kuwa yangu lakini naweza kaa nayo siku kadhaa kuichezea chezea na kuiangalia pia haiwezi pita wiki bila kushika simu ya tecno sababu naletewa nyingi tu zikiwa na matatizo niwatatulie.Umewahi tumia tecno smartphone?