Duuuu......inamaana ni mchina????nimechukua Kwa jamaa 300,000
Sidhani kama ni nature yetu ila leadership hakuna, na hii inatokana na mifumo tunayotumia ambayo mingi ni ya kuiga, copy and paste. Ubinafsi umetawala kupita kiasi.
Changa hilo zipo kariakoo zinauzwa laki na 20 mpaka na 80 ila ni copyright ya S4 ni vitu vichache mno vinakataa ikiwemo hiyo ishu ya memory
Ingiza code hii *#7353#
Sent from my iPad using JamiiForums
Wakuu naombeni msaada,ntajuaje ipi ni feki.ninayo ambayo inaonyesha internal memory ni 5GB na phone memory ni 16 GB,ila nikii connect na computer inaonekana phonememory ni 1.23gb badala ya 16gb.au nimepigwa???????
Changa hilo zipo kariakoo zinauzwa laki na 20 mpaka na 80 ila ni copyright ya S4.
MKUU MSHANA JR, NIJULISHE HIZO S4 CLONE ZA 120K NAWEZA IPATA DUKA GANI? MI NAHITAJI HZO COPY.
Ila inaspeed nzuri sana kwenye internet