Samsung Galaxy S4 feki

Samsung Galaxy S4 feki

Nicheki 0714-408238 nikupe 100k fasta upunguze machungu, nataka nimpatie wifi yako.
 
Lkn fahamu kua hizo cord ulizotumia *#1111#hii ni test visionau hii *#0*# hizi zote hazikufanyi cm uijue kua ni oringinal hata cm za kichina zinakuba
Cha msingi
Uwangalie feature zake ndio utambue cm orginal au nu feki
Utaingia hapo utangalia
www.gasmarena.com
Na dhani itasaidia
 
Usijaribu kununua samsung zinafojiwa sana ni ngumu sana kujua ipi ni feki na ipi ni real, nunua htc au sony au amazon fire.
Hiyo umepigwa definately ila tembelea youtube kuna video za wataalamu wa simu wanaelezea hiyo fake na real samsungs, see the link below

https://www.youtube.com/watch?v=tYTqeILPNug

Ila Mkuu sina hakika sana ila nahisi kuna kirusi,ukienda phonebook wakati mwingine majina yanaji scroll kuanzia 'A' Mpaka 'Z' Bila hata kucomand,au ukiwa unaandika,uki bofya 'A' inaandika 'D' au herufi nyingine kabisa ila ikiamua inaandika saaafi.Yani naishangaa tu
 
Lkn fahamu kua hizo cord ulizotumia *#1111#hii ni test visionau hii *#0*# hizi zote hazikufanyi cm uijue kua ni oringinal hata cm za kichina zinakuba
Cha msingi
Uwangalie feature zake ndio utambue cm orginal au nu feki
Utaingia hapo utangalia
www.gasmarena.com
Na dhani itasaidia

Nashukuru Mkuu,nitalifanyia kazi
 
Angalia Ubora wa picha,kama quality mbovu basi bi huji ntao huyo.
 
Akishaingiza hiyo code atarajie nini? Kamilisha maelekezo muzee.

Samsung galaxy original zote zina respond kwenye code *#7353# na ukiingiza hiyo code utapata hii kitu niliyo attach hapo chini. Mind you clones hazukubali hii code. Hapo unaweza ku perform different tests. Lakini pia njia nyingine ya kutambua kuwa ni fake au lah nenda kwenye play store download application Inaitwa 2014 CPU IDENTIFIER. Ukimaliza install then open it utapata details kama inavyoonekana kwenye picha ya Pili hapo. Then nenda kwenye website either ya samsung au gsm arena anglia specifications za simu husika hasa processor, ram,gpu na details zingine kama zinavyoonekana kwenye picha ya Pili. Kama zina match na hizo zinazotoka kwenye hiyo application then it's original. Kinyume na hapo hiyo ni clone.
 

Attachments

  • 1403844259532.jpg
    1403844259532.jpg
    41 KB · Views: 155
  • 1403844611240.jpg
    1403844611240.jpg
    76.3 KB · Views: 140
Wakuu nimebofya *#1111# imeandika READ FTA SW VERSION
FTA SW VERSION:19500.004 Keisha nikabofya *#0*# ikaandika RED GREEN BLUE RECEIVER VIBRATION DIMMING n.k kioo chote kikajaa.Naomba mwongozo
 
Kwa nyongeza,wakati wa kuiwasha inaandika SAMSUNG GALAXY S4 GT 19500
 
Hivi kuna memory card ya GB 64,kama ndio itakuwa bei gani
 
Back
Top Bottom