What is the simplest meaning of this mess | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What is the simplest meaning of this mess

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zhule, Apr 27, 2010.

 1. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2010
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No.1 Nisaidie kung'amua maswali haya.Tulisema wazungu (viongozi) wanatunyonya, tukapigania uhuru tukawa huru. Leo viongozi weusi wanatunyonya tufanye nini?
  No.2 Lengo la uhuru pia ilikuwa ni kwamba tuwe na MADARAKA. Tutumie madaraka na RASILIMALI tuliyo nayo kujiletea MAENDELEO.Je lengo letu limetimia?
  No.3 WACHINA walitujengea reli ya TAZARA 1970s leo tunawaomba waje watukarabatie. WAJERUMANI walitujengea reli ya kati leo tunawaomba waje watukarabatie.Hii inaashiria nini?
  No.4 Tulianzisha viwanda vyetu vya nguo, TTCL, NASACO na kadhalika zikashindwa kuwaudumia wananchi ikabidi Rais mwinyi aanzishe sera ya ruksa.Walipokuja weupe kutoa huduma biashara zao zinapanuka kwa kasi. Kumbe basi wanunuzi walikwepo na pesa zao mkononi lakini hakuna mtoa huduma (serikali).alikadhalika wasafiri wa kwenda kigoma, mwanza, mbeya,zambia tena nauli ni cash sio deni wapo ila hakuna train. Wapiga simu, watumiaji wa umeme wenyewe pia ni cash siyo deni.Ndege pia watu hawapandi kwa deni lakini zote hizi zimeshindwa kujiendesha kwa faida.Nazo je zina maana gani?
  No.5 It looks like a total failure. Je hii failure ni ya nani viongozi au wananchi?
  No.6 Viongozi wetu nadhani wengi tu wamesoma abroad. Darasani au wakienda kuaomba misaada abroad wanafikiri watu weupe wanawachukuliaje?
  No.7 kwa nini viongozi wetu/ waafrika wanadhani ni sahihi kwao kusaidiwa na wasiposaidiwa wanadhani hawatendewi haki? ukiwa abroad utawaonea huruma viongozi wetu. China kwa mfano leo ukimwona rais wa Tanzania, kesho ni wa Kenya keshokutwa wa Zambia mtondo wa Angola, Msumbiji yaani ni msururu kabla ya wa Sudan ambaye nafikiri pale ni kama nyumbani. kila mmoja na shida yake.
  No.8 Na Je abroad tunaishi kwa heshima na hadhi au kwa sababu tu ya kipato.
  No.9 wachina wamesema wanahitaji miaka 100 kuanzia sasa ili wawe superpower na ikiwezekana waipuku marekani. Je Africa na Tanzania in particular tunahitaji miaka mingapi ili tujitosheleze kwa chakula? bidhaa za viwandani? then tecknology?

  Jamiiforums inaanza kunifanya niifikirie Tanzania yetu na uweusi wangu, naipenda sana
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  We have the mafia for rulers, cant you see? And that should be loud and clear.
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  wananchi tumefeli...................tumeshindwa kuchagua viongozi bora
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu we acha tu, ndio maana Moeletsi Mbeki (brother of former South African President Thabo Mbeki) alisema kwamba Africa was 'better in colonial times' ni yake kama yanavyosomeka hapa chini.......... ofcourse ni ukweli unaouma.


  Africa 'better in colonial times'


  [​IMG]
  Some 90 million Nigerians live in poverty, Mr Mbeki said

  The average African is worse off now than during the colonial era, the brother of South Africa's President Thabo Mbeki has said.
  Moeletsi Mbeki accused African elites of stealing money and keeping it abroad, while colonial rulers planted crops and built roads and cities.

  "This is one of the depressing features of Africa," he said.
  Moeletsi Mbeki also said that South Africa should support democracy in Zimbabwe, and not tolerate violence.
  President Thabo Mbeki has been accused of being too soft on his Zimbabwean counterpart Robert Mugabe.
  South Africa should "not tolerate use of violence, torture and rigging of elections and, if necessary, we should support the opposition," Moeletsi Mbeki said.

  Downward spiral
  He said that while China had lifted some 400,000 people out of poverty in the past 20 years, Nigeria had pushed 71 million people below the poverty line.
  [​IMG]


  "The average African is poorer than during the age of colonialism. In the 1960s African elites/rulers, instead of focusing on development, took surplus for their own enormous entourages of civil servants without ploughing anything back into the country," he said.

  In July, a United Nations report said that Africa was the only continent where poverty had increased in the past 20 years.

  Moeletsi Mbeki was addressing a meeting of the South African Institute of International Affairs, which he heads. He has frequently taken different political positions to his brother. He has business interests across Africa
   
 5. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2010
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  is it our nature. and therefore no way
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama ni nature yetu ila leadership hakuna, na hii inatokana na mifumo tunayotumia ambayo mingi ni ya kuiga, copy and paste. Ubinafsi umetawala kupita kiasi.
   
 7. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mmmh hilo nalo wazo kuu, nakama viongozi wa serikalini wanafuatilia hii blog basi wayatafakari hayaa
   
 8. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hivyo ndivyo tulivyo waafrika tulio wengi, hata kama atapewa madaraka mtu gani, sjui tumeumbwa hvyo?
   
 9. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2010
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SIjui ni kikwete au kiongozi gani (imenitoka ) siku mmoja kipindi anafungua miradi ya maji iliyofadhiliwa na japan kule zanzibar aliuliza akikaa nyumbani hiyo misaada tutapataje?. aliendelea kusema wahitaji (yaani nchi zinazokwenda kuomba misaada) ni wengi. Hapo alikuwa anatetea safari zake za kila mara zinazolalamikiwa. Na rais aliwahi kusema pia kwamba HATUWEZI kuendelea bila wawekezaji (wafanyabiasha) kutoka ulaya kwaiyo mmojawapo ya shughuli yake sijui ni ya kikatiba ni kutembea kuomba misaada nje. Mkapa pia watu wanazungumuzia mmojawapo ya mafanikio ya serikali yake ni kuwezesha Tanzania KUSAMEHEWA madeni. Na mwinyi wanasema alifungulia milango ili wageni watuletee nguo (mitumba), chakula na kila kitu tunachohitaji.Je haya ni MAFANIKIO? na Ndo majukumu kweli ya serikali?Nyere wanasema alijenga viwanda akafungua makampuni lakini hakuna wasimamizi zikaliwa kwaiyo wanasema sera zake zilikuwa mbaya hizo za kufungua viwanda na mashirika zilikuwa mbaya. Tulijaribu tukashindwa. what next.
   
 10. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nchi za kiafrica zimekuwa failure.

  Wananchi waluio wengi wanazidi kuwa maskini huku watawala wachache wakineemeka.

  Wananchi na sio viongozi wanatakiwa kulaumiwa kwa haya. Sisi wenyewe ndio tunaotakiwa tujikomboe. Tukatae kunyonywa kwa raslimali zetu na watawala wachache. Lazima tusimame na kusame tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, na tumepuuzwa kiasi cha kutosha. Hivyo basi tunahitaji kuanzisha mapambano ya kujikomboa. There are two options: balot box and armed struggle. Je ni watu gani wa kuongoza mapambano dhidhi ya watawala wetu? je ni wasoni wetu? au wamegeuka kuwa vikaragosi vya watawala wetu? Ni mimi na wewe tulio na jukumu la kuwa wanamapinduzi kuonyesha kuwa waafrica wanaweza. Vinginevyo tukubaliane na yule mwanasayansi aliyesema akili ya mwaafrika ni finyu ukilinganisha najamii nyingine na kuwa hatuwezi kujiletea maendeleo yetu wenyewe
   
 11. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2010
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu je hoja ni viongozi wabadilike au waafrika wabadilike?. wamejaa humu watu wenye elimu, pesa na nyeo vyao. kila mmoja anajua ni vipi alivyopata utajiri wake.Je ni kweli wamepada utajiri kwa njia ya hard working, ubunifu, uaminifu kwenye matumizi, saving and investing? Manake ndo njia halali za kupata utajiri. Tukiendelea hivi kwa kuchuma/kuvuna bila kupanda tutafika? Manake ng'ombe ataishiwa maziwa one day. i'm worried!
   
 12. m

  magee Senior Member

  #12
  Apr 27, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  AFRICA,particulaly TANZANIA we dont need time frame,tunachohitaji ni watu wenye nia moja,juhudi na malengo madhubuti,watakao kuwa tayari kusimama kwa ajili ya kutetea maendeleo yatakayo ambatana na mgawanyo wa haki wa rasilimali.Tanzania imejaza viongozi selfish,wasiojua nia ya Tanzania wasio na maadili na uzalendo,Tanzania imejaza pia watanzania mambumbumbu wanaotazama lakini hawaoni,wanaoendelea kukumbatia uozo.Its high time kwa mabadiliko,tuanze kuchukua hatua na kuwazindua wengine.Tunarasilimali za kutosha na tunaweza,TUNACHOHITAJI NI MABADILIKO,KULETA MAGEUZI YA KISIASA NA KUWAELIMISHA WENZETU NA KUWAONYESHA TUNAWEZA,KUBWA KUPINGANA NA SERA MBOVU ZINAZOUNDWA KILA LEO NA KULETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI KUJITAMBUA KWAMBA KILA MMOJA WETU ANAWEZA KUWA NA UCHUMI BORA BILA KUTEGEMEA SERIKALI NDO IMSAIDIE,KWAMBA SERIKALI NDO YENYE JUKUMU LA KILA KITU BALI TUGEUKE NA TUJITEGEMEE WENYEWE.
   
 13. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2010
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu you right. lakini nadhani tunahitaji time frame. Lazima ufanye kitu kimoja at a particular time ili upime kama umefanikiwa then nenda no.2. Hivyo ulivyoorodhesha vyote vinawezekana lakini si at one time, can they? No.1 prepares the way for no.2. watu wakifail no.1 they should repeat it otherwise no.2 wont perform. Pili serikali kusaidia haina maana ya serikali kukupa pesa. China wanatoa upendeleo kwa viwanda vya ndani ili zipanuke, wanasubsidize all industrial export ili kupanua ajira kwa watu wake, marekali wanaingilia na hata kuanzisha vita ili maslahi ya watu wake yawe salama. Google ilipofunga search domain yake ya china serikali yao ilitaka kujua ni kwa nini. Hayo ndo misaada watu wanaongelea yaani kuweka njia. kuongoza na dhani ni lead yaani uwe mbele watu waige na wafuate nyayo zao. Serikali inawasomi, inarasilimali na tumewapa MAMLAKA ya KUAMURU kitu kifanyike.
  Na je wananchi watatajirikaje kwenye serikali maskini.Kama hawawezi kusafirisha bidhaa zao hakuna barara hakuna train. Na watazalishaje na kusindika kama hakuna umeme? au what did you mean when you said TUGEUKE NA TUJITEGEMEE WENYEWE!
   
Loading...