Samsung Galaxy Ace

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Ndugu zangu Wanajamii!!!!!

Nina mpango wa kununua simu nzuri na ya kisasa siku za karibuni maana ninakwenda Mwanza kikazi. Kuna jamaa yangu amenishauri ninunue Samsung Galaxy Ace, lakini nilipomuuliza uzuri na ubaya wake akanambia kimsingi hafahamu. Najua wapo wengi ambao wanatumia simu hizo na wapo humu jukwaani.
Tafadhali, anayeijua vizuri simu hii(kwa ubora na udhaifu wake), naomba animwagie. Huku kwetu mkoa mpya wa Katavi, technology ni giza kabisa.
 
ni kati ya simu za gharama nafuu zaidi za android.
ni nzuri kwa kiasi chake kama utatumia kigezo cha bei yake.

ila kwa upande wangu ningekushauri uchukua galaxy S.........ingekufaa zaidi maana inauwezo mkubwa na bei yake kidogo ni nafuu ukilinganisha na simu za kampuni nyingine zenye uwezo unaofanana na iyo
 
Tatizo lake ni betri mkuu. Haidumu kila siku lazma uchaji ka utakua ni mtu wa kuchat na kuperuzi.
Nilichogundua ni kuwa smartphone zote zina tatizo la betri sababu ya kufanya mambo mengi ya kwenye mtandao lakini kama uki disable matumizi ya intaneti Ace inakaa hata siku tatu bila kuchaji mimi ndio natumia,ila nimedisable matumizi ya intaneti
 
Sio smartphone zote.Changamoto hii ya betri kutokukaa muda mrefu iko dhahiri kwa android na ios.Symbian wanajitahidi kidogo

Sent from my LT26i using Tapatalk 2
 
Ndg hiyo nliyobold hapo ikoje..i mean features zake..!!

Si nzuri kwa features ni mid smartphone lakini kama wewe unapenda smartphone kama pambo
(I mean matumizi ya kawaida na kujionyesha zaidi) hii smartphone itakufaa hasa kwa gals maana ndo imeshinda awards nyingi za design
nokia-lumia-800_41.jpg

umeona kioo chake? Ni 2.5d yani kimekaa curve kinakaribia 3d hakipo flat.

Feature nyengine ni kama
-phone memory 16gb
-ram 512mb
-speed 14.4 mbps
-camera 8mp
-processor 1.4 ghz single core

Kama hupend kuchakura chakura simu nzuri hii
 
Aiseee hii kitu imesimama kinoma yaani..sasa zinaanzia ngapi bei..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom