Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

Display naona kam zote ni AMOLED labda display naona ya j7pro ni FHD wakt A20 NI HD....ungekuwa ww ungechukuaa ipi
Battery ni km Pro ni 3600MAH na A20 ni 4000 MAH
Kuna mdau anasema A30 kwa 470 kariakoo kwanini usitafute hio? Bei ni humo humo na specs nzuri zaidi.
 
Natumia J7 pro pia hii simu ipo vizuri.
 
Anahitaji, Samsung A30 Anione nimpe kwa 450,000 Kuna mtu nilimchukulia, anatanga anizungue kwenye pesa, Haijatumika kabisa, imenunuli Tarehe 12 jun unaikagua kwanza ikilidhika unalipia.
 
Anahitaji, Samsung A30 Anione nimpe kwa 450,000 Kuna mtu nilimchukulia, anatanga anizungue kwenye pesa, Haijatumika kabisa, imenunuli Tarehe 12 jun unaikagua kwanza ikilidhika unalipia.
Uko wap
 
Mi samsung siku hizi kero tupu, yan nanunua simu laki 4+ alafu haina feature ndogo tu kama ya screen mirroring wakati hadi itel hiyo feature wameweka. So disappointed na J4 plus, naimani hata hizo A10, 20 hazina vitu vingi maana naona wame concetrate kwenye aesthetics kuliko features. Wanataka mionekano ya infinity display na waterdrop za vioo zivutie nje tu.

Juzi J4 plus nimepata OS mpya android 9 pie, ikiwa na One UI nikahsi hiyo feature itakuja sasa hola.

Mwenye 280k alete nimpa J4 plus mint condition na risit yake juu.
 
Simu zote zenye wifi zina huo uwezo kwanini usidownload tu 3rd party app store?
 
Tumia hii app Cast to TV.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…