Samsung aongoza tena kwa mauzo ya simu duniani

Samsung aongoza tena kwa mauzo ya simu duniani

Mzee umegusa kwenyewe kabisa mi natumia Vivo yangu y20 ni balaaa sitaki kabisa kuwasikia Tecno ,infinix na hata sumsung maana sumsung amezingua sana kwenye haya matoleo ya A series
Wako poa sana hawa jamaa, ile programu ya smart split au simu kukuita kwa jina self tracking iko poa sana, sidhani hata hiyo apple anagusa hapo 😁!.
 
Shida samsung siku hizi zimekuwa Kama tecno kila siku wanaingiza mzigo mpya sokoni
Wewe Unatakaje kwani hii si biashara au Umesahau Nokia walikuwa wanafanyaje enzi hizo?
Wacheni hizo watu wanashindana kwenye kuionyesha Dunia ya Technology ubunifu wa Smartphone inayopelekea na sisi huku tufaidike na punguzo la bei we unafikiri isingekuwa hivyo kuna wabongo Wangapi leo wangemiliki A20 au Note 10+?

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Ila hawa samsung sasa hivi app zao na mwanga kwenye simu zao mbona kama tecno tu?
 
Simu ni Huawei, narudia simu ni Huawei..
Niliwai kuinanga hii compuni, sasa nimeijua baada ya kuitumia kwa wiki kadhaa na kugundua inavitu vya kipekee ambavyo simu zingine hazina.
Huawei simu.. Huawei ni habari nyingine.
 
Yuko nafasivya saba uko akiporomoka kwa kasi kubwa sana ya kwenda chini yaani anguko lake ni anaporomoka
 
Watu wana roho mbaya sana yaani mtu roho inamuuma eti kwanini samsung katengeneza hizi A series..wangapi leo wangemiliki simu zenye unafuu wa ubora!
 
Back
Top Bottom