Samsung aongoza tena kwa mauzo ya simu duniani

Samsung aongoza tena kwa mauzo ya simu duniani

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,260
Kampuni ya samsung imeongoza tena kwa mauzo ya simu duniani ndani ya robo ya kwanza ya mwaka 2021 report imetolewa leo

Samsung ameuza simu million76+ iphone ameuza simu million52+ na huawei amedondoka kimauzo mpaka nafasi ya saba

Haya sasa wale team huawei yale madhara ya trump ndo yanazidi kukolea kweli kweli inawezekana kabisa kwa robo ya pili ya mwaka Huawei asiwemo ata kwenye top 20 ya best sales
 
Good move, but sasa hivi Samsung naye anakuwa kama Tecno... unanunua A12, mwezi ujao inatoka A13 hujakaa sawa inatoka A14 na 15 aaaah hata kama ni mipango ya biashara
Hawa jamaa namna iyo ndo wanavyozidi kupiga pesa na hii ni baada ya simu zao nyingi mfano a21s hasa ndo simu iliyouza sana kwa samsung brand this quarte of the year hii
 
Kuna kitu kimetulia sana kinaitwavivo hawa jamaa hawavumi ila ukiwashtukia hutataja tena sumsung[emoji51]!.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787] yeye vivo na mwenzie oppo wapo nafasi ya 5 na 6 wakiwa wameuza jumla ya 33 milion kwa wote wawili jumla ya simu walizouza ni 33million
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787] yeye vivo na mwenzie oppo wapo nafasi ya 5 na 6 wakiwa wameuza jumla ya 33 milion kwa wote wawili jumla ya simu walizouza ni 33million
Hah hahaha h
 
Shida samsung siku hizi zimekuwa Kama tecno kila siku wanaingiza mzigo mpya sokoni
Na ndo kinachowafanya waendelee kulead soko sababu wana varayaties nyingi sokon alafu hawabagui sana wateja wao kuna high range mid range lower range
 
Kuna kitu kimetulia sana kinaitwa vivo hawa jamaa hawavumi ila ukiwashtukia hutataja tena sumsung[emoji51]!.
Mzee umegusa kwenyewe kabisa mi natumia Vivo yangu y20 ni balaaa sitaki kabisa kuwasikia Tecno ,infinix na hata sumsung maana sumsung amezingua sana kwenye haya matoleo ya A series
 
Back
Top Bottom