malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,717
- 4,295
Wakuuu nakuja kwenu nataka kununua sumsang A35 oringal full box,Niko dar maduka Gani wanauza samsung original
New Samsung Galaxy A35 5GNI sh ngp hiyo simu
Atamudu kweli mwenzetuNew Samsung Galaxy A35 5G
950,000/= [128GB + 6GB RAM]
1,100,000/= (256GB +8GB RAM)
Hizi bei ni za kitapeli. 950000 ni bei ya Galaxy A56New Samsung Galaxy A35 5G
950,000/= [128GB + 6GB RAM]
1,100,000/= (256GB +8GB RAM)
Kwaiyo A35 5G nishingapHizi bei ni za kitapeli. 950000 ni bei ya Galaxy A56
Ingia page ya samsung tanzania alafu uweke hapa bei uliyoikuta huko. Wapo kwenye mitandao ya kijamii.Hizi bei ni za kitapeli. 950000 ni bei ya Galaxy A56
Around 600K kwa 6GB RAM 128GB ROMKwaiyo A35 5G nishingap
Utaaminije hiyo page kuwa ni official ya Samsung bila hata kuwa na blue tick?Ingia page ya samsung tanzania alafu uweke hapa bei uliyoikuta huko. Wapo kwenye mitandao ya kijamii.
Haswaaa.Around 600K kwa 6GB RAM 128GB ROM
Around 700K for 8GB RAM 256GB ROM
Duka Gani hizi Bei maana maduka ya Samsung nimeuliza Bei 128GB ni 850000 alafu hiyo 256GB 930000Haswaaa.
Nenda Kkoo, duka la Samsung, utapata hiyo.Duka Gani hizi Bei maana maduka ya Samsung nimeuliza Bei 128GB ni 850000 alafu hiyo 256GB 930000
Liko kariakoo sehemu ganiNenda Kkoo, duka la Samsung, utapata hiyo.
Kwa hizo Bei nimpya fullbox au refurbishedNenda Kkoo, duka la Samsung, utapata hiyo.
Phonepoint darWakuuu nakuja kwenu nataka kununua sumsang A35 oringal full box,Niko dar maduka Gani wanauza samsung original
Unamjua?Atamudu kweli mwenzetu
Full 📦Kwa hizo Bei nimpya fullbox au refurbished