Mwanamke hawezi gundua vitu kama hivo mkuu.. ukiwa mtumiaji wa s na note series utaelewa nazungumza niniMmh aisee hyo itakua ni ajabu. Mm A50 yangu ilikua inapiga kazi freshy tu na haichagua earphones wala nini. Sister wangu ndio alikua na A51 na sijamsikia akilalamika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi linganisha A series na Note au S. Simu inayouzwa laki 6 na nusu huwezi fananisha na inayouzwa mil 2 +.Mwanamke hawezi gundua vitu kama hivo mkuu.. ukiwa mtumiaji wa s na note series utaelewa nazungumza nini
Wewe jamaa niaje bana..unalinganishaje S,Note,na A series kwa scale moja..kuna S series mpya kwa mwaka husika inayouzwa 600k?..Hii tu ilitosha kukuambia kuwa A series ni inferior kwa hao wengine quality and perfomance wise.Mwanamke hawezi gundua vitu kama hivo mkuu.. ukiwa mtumiaji wa s na note series utaelewa nazungumza nini
Sawa sawa Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe jamaa niaje bana..unalinganishaje S,Note,na A series kwa scale moja..kuna S series mpya kwa mwaka husika inayouzwa 600k?..Hii tu ilitosha kukuambia kuwa A series ni inferior kwa hao wengine quality and perfomance wise.
Usilinganishe wali wa serena hot na wa mama ntilie pembezoni mwa barabara kisa tu chakula kilichoandalia kwa mchele
Kama warranty bado rudisha hiyoMmuu simu ya 2019 mwishoni refurbished yake bado.. Pia Duka la Samsung haliuzi refurb
Utawaacha wengi kwa hizo vocabularies. 😄Mbona iko wazi..A seriz ni mid-range...ukitaka samsung experience basi cheza na flagship tu..
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app