Samsung A series ni Failure kwa Samsung!

Samsung A series ni Failure kwa Samsung!

Kwa Miaka kadhaa nimekuwa mtumiaji mzuri wa Note na S series za Samsung, pia nimejaribu J series kidogo though sikupendezwa sana.

Hapa Majuzi kama miezi miwili iliyopita nikaamua nijaribu kutumia A Series za Samsung, Nikachukua A51.

Kwanza Kabisa Simu design ya Upande wa Back Cover ni mbaya yaani haivutii.. inazidiwa hata na note 5 ya mwaka 2015 huko.

Simu ina bad music experience, Note 5 ina mziki mzuri kuizidi.

Simu hii ina performance mbovu mno.. yaani ipo slow sana.

A series zinastack sana zikizidiwa.

Mbaya zaidi inabagua earphones na kuna wakati inastack na uko on call.

Ukitaka uinjoy Simu za Samsung achana na hizi A series.
Flagship ziko more quality kuanzia note 4 ilianza technology ya QHD super amoled display yenye 518ppi hakuna midrange yoyote mpaka sasa yenye quality hiyo + many features 4k record both camera powerful multi window kiukweli flagship ina raha yake japo nazikubali A series ziko vizuri performance nzuri battery life nzuri ila bado hazitafikia flagship
Screenshot_2021-02-12-23-19-36.jpg
 
Unalinganisha harrier na IST hapo. Note na S ni high end A ni low end economical model
 
Mbona mimi nimenunua mwaka jana ipo vizur,betri inadumu kuliko j series,internet ipo faster vzr usipende conclude kwa jumla.
 
nyie jamaa mnazingua sana.

huku A series tunafata betry na storage tu.
mambo mengine huku huyakuti.

hata ushike s5 ya mwaka 2014,utagundua kuna vitu vimekaa kwa umakini zaidi kuliko humo kwenye hiyo A uliyonayo.

japo simu yako nayo ina matatizo yake binafsi lakini siwezi kukwambia utapata ulivyovitegemea,embu chukua s9plus hapo uone thamani ya 2.5 milioni miaka 3 iliyopita.
 
Mmh aisee hyo itakua ni ajabu. Mm A50 yangu ilikua inapiga kazi freshy tu na haichagua earphones wala nini. Sister wangu ndio alikua na A51 na sijamsikia akilalamika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye tu mwenyewe, nina A10s yangu toka mwaka juzi haijawahi kuzingua chochote japo huwa naiangusha mara kibao, huyo atakuwa ameuziwa tecno kwa nje imeandikwa Samsung
 
Jaribu note na s series.
Sasa mkuu yeye stephen4440
kwakuambia ana Samsung A30 mwaka wa pili, haijawahi kumsumbua hata kidogo, imetulia kila kitu, wewe unamwambia anunue S series!
Yeye karidhika na range ya simu yake wewe unataka akamwage hela zaidi. Upo fair kweli?
 
Mimi A series nimekuja kwa sababu ya betri na storage basi,lkn kila kitu kibovu kuanzia camera,display pia hamna kitu
 
Mimi A series nimekuja kwa sababu ya betri na storage basi,lkn kila kitu kibovu kuanzia camera,display pia hamna kitu
Nikiwaambia hawaelewi.. Toleo bovu kabisa la Samsung
 
ni bovu kwa kulinganisha na samsung flagship au kampuni nyingine zinazoeleweka, sio tecno, infinix na itel.
Yeah.. I'm pretty sure hata hizi Huawei Y9 zitakuwa poa zaidi.
 
Yeah.. I'm pretty sure hata hizi Huawei Y9 zitakuwa poa zaidi.
yah hiyo y9 pro, itazizidi simu nyingi za A series, ingawa baadhi zitaiacha.

mfano A50 kwenda juu kidogo kuna ahueni.
 
yah hiyo y9 pro, itazizidi simu nyingi za A series, ingawa baadhi zitaiacha.

mfano A50 kwenda juu kidogo kuna ahueni.
Natumia A51 sijaikubali kabisa yaani.. performance mbovu sijawahi ona..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom