Samsung A series ni Failure kwa Samsung!

Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,601
2,000
Kwa Miaka kadhaa nimekuwa mtumiaji mzuri wa Note na S series za Samsung, pia nimejaribu J series kidogo though sikupendezwa sana.

Hapa Majuzi kama miezi miwili iliyopita nikaamua nijaribu kutumia A Series za Samsung, Nikachukua A51.

Kwanza Kabisa Simu design ya Upande wa Back Cover ni mbaya yaani haivutii.. inazidiwa hata na note 5 ya mwaka 2015 huko.

Simu ina bad music experience, Note 5 ina mziki mzuri kuizidi.

Simu hii ina performance mbovu mno.. yaani ipo slow sana.

A series zinastack sana zikizidiwa.

Mbaya zaidi inabagua earphones na kuna wakati inastack na uko on call.

Ukitaka uinjoy Simu za Samsung achana na hizi A series.
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
833
1,000
Kwenye design ya cover la nyuma nakubali kabisa. Wameweka marangi rangi kma vile simu ya mtoto wa secondary. Ila kwenye stuck hapo inawezekana simu ni mbovu aisee. Maana nilikua na A50 hapo nyuma na haikua hvo kabisa
 
Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,056
2,000
Yaani wewe kununua simu moja mbovu ndio unaconclude kuwa series nzima ni mbaya?

ununue ist iharibike baada ya week ndio useme Toyota wamekosea kwenye IST? tupa hicho kimeo kanunue simu dukani halafu uje utupe mrejesho
 
Hii inatokea hasa ukipiga simu na uko na earphones.. nadhani inataka Earphones za Samsung.
 
Sijawahi nunua simu second hand.. Nachukua simu duka la samsung
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
833
1,000
Hii inatokea hasa ukipiga simu na uko na earphones.. nadhani inataka Earphones za Samsung.
Mmh aisee hyo itakua ni ajabu. Mm A50 yangu ilikua inapiga kazi freshy tu na haichagua earphones wala nini. Sister wangu ndio alikua na A51 na sijamsikia akilalamika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom