Samson wa Hotmix EATV ni mchochezi

Hata kama Nape aliongea ki hoax za kisiasa Samson hapashwi kuyarudia mambo ambayo hayakua ajenda na kuyaandalia kipindi maalum. Utake usitake wanaomtuma watamkataa siku yakimkuta.

namkubali sana samsoni anasema ukwel uuwez ukamzuia mtu kuzungumza uupuz aliousema nape
 
Kauli ya mwinyi inahusika na matokeo ya uchaguzi mkuu?

pia imeshaingizwa kwenye hansadi itajirudia miaka yote kama maneno ya mwny na nyerer pia mkapa kwa io inategemea vp amelitumia na wap na kwa wakati gan ...ulikua c mda wa kuongea upuuz ule
 
Dah! Nilikua sijui kwamba mtu akisema ukweli ana mahaba na CHADEMA. Kwa hiyo ulitaka asionyeshe hizo picha ili awaridhishe nyie kwamba ni mtu wenu?
 
Tulia DAWA ikuingie BW*GE ww!
 
Kuna tatizo gani kama akijadili hilo goli la mkono?? Mahaba yake na chadema yanakuhusu nini?? Km mtu amezoea kuropoka acha ajadiliwe....... Mbona wewe una mahaba na ccm na hakuna aliyekuuliza??? Acha fikra zako mgando ndg yangu....... Ukiwa na ujinga wako kichwani usitake na wenzake tuwe nao......
 
sio watu wote ni wapumbavu kama ulivyo wewe.
nakushauri utazame tbc utakutana na habari unazozipenda wewe.
 
KAMA KAWAIDI YENU WASAHAULIFU mbona mnagomba lengo ni kuwakumbusho si unaona leo umekumbuka unapokuwa na kumbukumbu ndio pia utakuwa na uwezo wa kuhoji
 
pia imeshaingizwa kwenye hansadi itajirudia miaka yote kama maneno ya mwny na nyerer pia mkapa kwa io inategemea vp amelitumia na wap na kwa wakati gan ...ulikua c mda wa kuongea upuuz ule

Acha upuuzi, tunajadili uchaguzi mkuu hapa we unaleta kauli za Mwinyi za michezo na unasema zimeingizwa kwe hansad! Hansad ipi hiyo!!?
 
[/B][/I][/COLOR]

KAMA KAWAIDI YENU WASAHAULIFU mbona mnagomba lengo ni kuwakumbusho si unaona leo umekumbuka unapokuwa na kumbukumbu ndio pia utakuwa na uwezo wa kuhoji

We mtetee tu, utakuja kumkataa baadae kidogo.
 
sio watu wote ni wapumbavu kama ulivyo wewe.
nakushauri utazame tbc utakutana na habari unazozipenda wewe.

Sidhani kama mleta uzi kasema hapendi kutazama eatv, naona anachesema ni kuhusu vipindi vyenye kuleta mustakbali hatarishi kwenye kipindi kijacho cha uchaguzi mkuu.
 
we unavoshabikia liCCM lako na liTBC nani amekuandama....acha ushabiki fanya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…