MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,753
- 6,685
Source: Samson Mwigamba hilo gazeti limepublish tuSource: Jamvi la Habari!
Jamvi la Habari ni kagazeti fulani hivi ka lumumba maalumu kwa kuichafua CHADEMA. Kama ukitaka ku-prove katika matoleo yote katika front page yake ni Mbowe, CHADEMA. Front page yake hata mkuu wa INJI hajawahi kukaa pale. Jaribuni kulifuatilia mtajanambia. Halinaga balance ya habari. Wao ni CHADEMA tu.
Gazeti la namna hii halifai kufungia hata mihogo
1.naeza nikawa nimekuzidi level,taaluma,ufaulu na ubora wa elimu uliyosoma 2.hio sio content ilioko meza kuu 3.jenga hoja usiattack mtu hiko ndio kinafanya viongozi wenu na vyama vyao vionekane genge la wahainikwenye maandishi mekundu pamenifanya nikwambie usiku mwema
nimeshajua naongea na mtu wa level gani
kamalizie semester ya mwisho ndugu usije ukafeli UE
Huo mpango wa hilo gazeti tunaujua. We jaribu kulifuatilia utakuja kugundua. Hata magufuli afanyeje huwezi mkuta kwenye front page ya Jamvi la Habari. Ni kina Mbowe na CHADEMA tu!Source: Samson Mwigamba hilo gazeti limepublish tu
Huo mpango mimi nauona kwenye mitandao ya jamii hata maghufuli afanye jema kwa taifa kina mbowe watamtukana tu na kukosoa..Huo mpango wa hilo gazeti tunaujua. We jaribu kulifuatilia utakuja kugundua. Hata magufuli afanyeje huwezi mkuta kwenye front page ya Jamvi la Habari. Ni kina Mbowe na CHADEMA tu!
Mku mtu makini apewe umakini kumbuka ukada usikupe ukilema wa kutokuona mbele.Sasa kakuambia anamchukia mbowe au amekana mbowe hajamkuza kisiasa??ameeleza mbowe kabadili gia angani ..na hio mwenyekiti bora afrika umeinukuu chombo kipi cha habari?ameainisha jinsi mbowe katumia mabavu kujieka mwenyekiti wa kudumu,jinsi asivyokua na demokrasia na jinsi alivyokua na uchu na utawala kiasi chA kuondoa wale waliompinga kwenye kuendesha chama
Ukisema wenye kiti waliokinua chama chao ni maghfuli,CCM ilikua imepoteza imani yake kwa wananchi ila JPM amekiinua chama kutoka kwenye chama cha mafisadi kuja kwenye chama cha wachapakazi..hakuna mtu aliwah tegemea wanasiasa wa upinzani wangevutiwa na chama tawala yamtokea hayo...na hali imekua tofauti kwa mwenyekiti mbowe wa kudumu..hivi uchaguzi wa uongozi wa chadema unafanyika lini?Mku mtu makini apewe umakini kumbuka ukada usikupe ukilema wa kutokuona mbele.
Mbowe sio mkubwa sana ila kwa umri aluonao ni mwenyekiti wa chama gani hapa nchini unaweza kumfananisha naye kwa kukiinua chama vipo vyama vingi vingine vinaongozwa na watu wenye umri wa baba yake mzazi mbona hatuvioni tunamwona mbowe kwa kuwa ndiyo kiongozi anayetupa challenge hapa nchi.
Hivi unaikumbuka kauli ya Rais Kikwete yakuwa chama changu kiache kutumia dola kwa ajili ya kutawala hivi anayetumia hoja na anayetumia hoja ni yupi Kiongozi bora hapa.
Mbowe sio mwepesi wa kufika bei au wakukubali kuwekwa mfukoni kama hao wengine wenye umri wa baba yake heshima yake apewe kwani ni kiongozi wa kuigwa
Kwahiyo Dr slaa nimuongo haaminikiManeno hayo dr.Slaa aliyasema kimaslahi wala haezi sema leo hadharani ni kama vile mbowe alivotumia miaka kuwatukana sumaye,nyalandu,lowasa na kutumia siku moja kuwasafisha
Ccm wanafanya siasa pekee yao polepole anazunguka nchi nzima anafanya mikutano ya nje na ya ndani anaandamana lkn upinzani wakifanya siasa polisi wanawafungaUkisema wenye kiti waliokinua chama chao ni maghfuli,CCM ilikua imepoteza imani yake kwa wananchi ila JPM amekiinua chama kutoka kwenye chama cha mafisadi kuja kwenye chama cha wachapakazi..hakuna mtu aliwah tegemea wanasiasa wa upinzani wangevutiwa na chama tawala yamtokea hayo...na hali imekua tofauti kwa mwenyekiti mbowe wa kudumu..hivi uchaguzi wa uongozi wa chadema unafanyika lini?
Tufanye kwamba ni kweli Mbowe ni mtu mbaya sana na CHADEMA ni mbaya sana.Sasa kakuambia anamchukia mbowe au amekana mbowe hajamkuza kisiasa??ameeleza mbowe kabadili gia angani ..na hio mwenyekiti bora afrika umeinukuu chombo kipi cha habari?ameainisha jinsi mbowe katumia mabavu kujieka mwenyekiti wa kudumu,jinsi asivyokua na demokrasia na jinsi alivyokua na uchu na utawala kiasi chA kuondoa wale waliompinga kwenye kuendesha chama
Mku ukisema amekiinua chama inatakiwa uwe na vitu. Vinavyoonekama ndani ya chama na nje ya chama ili kukipa chama uungaji au ufuasi.Ukisema wenye kiti waliokinua chama chao ni maghfuli,CCM ilikua imepoteza imani yake kwa wananchi ila JPM amekiinua chama kutoka kwenye chama cha mafisadi kuja kwenye chama cha wachapakazi..hakuna mtu aliwah tegemea wanasiasa wa upinzani wangevutiwa na chama tawala yamtokea hayo...na hali imekua tofauti kwa mwenyekiti mbowe wa kudumu..hivi uchaguzi wa uongozi wa chadema unafanyika lini?
Kiuchumi huoni miradi ya ccm inayozinduliwa na kukaguliwa chini ya polepole kila siku? Msikeshe kwenye mitandao ya kijamii mkipandikizwa chuki mkashindwa kujivunia kua wa Tanzania angalieni vyombo vya habari muone maghufuli anayoyafanya,hudhuria hata sheree za uzinduzi wa mradi wowote ni bure. Msijikite kwenye mangufu ya mtu kila binadamu ana yake hata mbowe pia..njoeni na hoja zitakazowarudisha kwenye upinzani kwanini ni chadema ndio kinaonewa sio act,cuf,nccr,tlp au chauma?? Nyie mnapigwa vita kwa sababu mmekua genge la wapinga maendeleo sio chama cha upinzani tena..hamkosoi,mnatukana..hamji na mapendekezo,mnapandikiza chuki huo ni uasi viongozi wenu watahukumiwa na sheriaMku ukisema amekiinua chama inatakiwa uwe na vitu. Vinavyoonekama ndani ya chama na nje ya chama ili kukipa chama uungaji au ufuasi.
Ukisema amekiinua chama unatakiwa uelezee anakiinua vipi.
Kiuchumi au kisiasa kwa haya yote nikiwa kama mwanachama nitasema hajafanikiwa kwani uongozi sio ubabe ni ushawishi wa hoja kinachotumika ndani ya chama ni ubabe na huo ubabe unasababishwa na kutojiamini anahisi uasi ndani ya chama.
Nchi ni ya vyama vingi then unazua wapinzani wako tutokujihusisha na mambo yao huu uoga na kumbuka malalamiko ni mengi sana ndani ya chama ila wanachama wanaongelea vichochoroni kwani tunaongozwa kwa ubabe kiongozi hataki wakuuliza swali.
Hivi hizi Waraka zote zilizotolewa na viongozi wa imani unafikiri malalamiko ni ya kwao ni kwamba mambo yalivyo na yanavyoendeshwa yanaonekana bila kuficho.
Yaani umtoe mpiga kura tandika akapige kura kinondoni huku ndo kukirudishia chama uhai huu ni uongo
Mwanaccm tunakokosea msema kweli siku zote anaonekana ni chadema sasa ww unatofauti gani na yule asiyependa maswaliJiuchumi
Kiuchumi huoni miradi ya ccm inayozinduliwa na kukaguliwa chini ya polepole kila siku? Msikeshe kwenye mitandao ya kijamii mkipandikizwa chuki mkashindwa kujivunia kua wa Tanzania angalieni vyombo vya habari muone maghufuli anayoyafanya,hudhuria hata sheree za uzinduzi wa mradi wowote ni bure. Msijikite kwenye mangufu ya mtu kila binadamu ana yake hata mbowe pia..njoeni na hoja zitakazowarudisha kwenye upinzani kwanini ni chadema ndio kinaonewa sio act,cuf,nccr,tlp au chauma?? Nyie mnapigwa vita kwa sababu mmekua genge la wapinga maendeleo sio chama cha upinzani tena..hamkosoi,mnatukana..hamji na mapendekezo,mnapandikiza chuki huo ni uasi viongozi wenu watahukumiwa na sheria
Unacholilia wewe ni uhuru wa kumtukana rais wako ?Mwanaccm tunakokosea msema kweli siku zote anaonekana ni chadema sasa ww unatofauti gani na yule asiyependa maswali
Kwa hiyo malamiko huyaoni mpaka mpaka Maskofu wanatoa waraka bado huoni sio.Unacholilia wewe ni uhuru wa kumtukana rais wako ?