Zamani nilisoma kitabu kilichoandikwa na KGB wakielezea kwa undani uhusika wa CIA serikali ya kibaguzi kwenye kifo cha Machel. Nilikuwa bado mdogo darasa la sita nakumbuka wakati nakisoma kile kitabu, waliweka details za kutosha namna mpango ulivyofanyika na hatimaye kufanikiwa kunasa ratiba ya safari za Machel na namna walivyotekeleza....
Ikumbukwe kwamba wakati ndugu zetu na Dunia wanapinga ubaguzi wa rangi, Wamarekani hawakuwa mstari wa mbele ktk hilo na waliwakumbatia wabaguzi.
Loh! mmenikumbusha mbali kweli.