Hana afya ya kutosha kukipiga ulaya...
Hana afya ya kutosha kukipiga ulaya...
Hana afya ya kutosha kukipiga ulaya...
Ngasa alienda kwenye interviw westham. Akafanya majaribia ya uwanjani kwa kiasi kikubwa alikidhi kiwango.
Akapewa interview ya kula hapo ndipo alipo chemsha. Unajua makuku ya uengereza makubwa sana. Akapikiwa moja ammalize, mama yangu kala robo tu anatokwa na majasho kama anachimba shimo la choo. Alivyo maliza tu, kapewa tiketi yake ya kurudi bongo. Embu siku moja mwangalie drogba akipata menu, mtakimbia
umri wa kutoka umeshapita
Hii ni kweli, na ndio maana hata waKorea/Japan hawatumiki kwa kila mechi. Lakini anaweza kujituma zaidi, na hivyo sababu ya umbo ikawa ndogo hata kumkwaza. Lakini pia wenzetu wanaangalia achievement zake...na ndo maana mwanzoni haikua afya kwao kuizarau T-stars.Hili ni kweli mkuu, ukiangalia kwa undani wachezaji wetu hawana miili yenye nguvu sana. Hii inatokana na kutokukuwa vizuri, na lishe duni walipokuwa wadogo, najuwa wengi watapinga kwa kujilinganisha na wakorea na wajapani, lakini ukiangalia, vizuri utaliona hili.