sammata tumsaidiaje ili awike Ulkaya?

sammata tumsaidiaje ili awike Ulkaya?

Bado kiwango kiko chini sana... Ana umri gani?
 
Hana afya ya kutosha kukipiga ulaya...

Anayo afya ya kutosha sana, na kwa kuwa anaendelea kukua anaweza kutengenezwa zaidi. Wapo wachezaji wengi Ulaya tena kwenye ligi kubwa na hawana kipaji kama cha Samata. Wengine wana afya mgogoro kuliko yake kama Oscar, Benayoun, n.k

Tatizo kubwa kwa Samatta ni jina la nchi yake.
 
Hapo nakukubali, na hata jinsi wachezaji wetu wanavyopitia kwenye mafunzo ya mpira nako ni duni vile vile!
 
nikiangalia ligi kuu za ulaya na latin america, sijaona mtu mweusi mwenye kiwango cha kumpita sammata. hata huyo demba Ba hajafikia kiwango cha samata. sasa tufanye nini watanznaia wenzangu ili tumtangaze huyu son of our pride?

tufuzu kwenda kombe la dunia.....hii haihitaji agent wala scout
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom