Kuna kaukweli fulani kwenye hili, labda mama kaamua mwenyewe iwe hivyo kwa sababu za kidini, maana hata ukiona hao wanawake wote wamesitiri nywele. Labda dini yake hairuhusu azungukwe na madume wenye vifua.....
Sio vibaya kuchomekea mademu wachache kwenye secret service, ila wasiwe wote hao, watazabwa vibao na rais kudhuriwa, sema kunao hupendeza kama huyu hapa...