Samia ni Rais pekee Afrika anayeukataa ukoloni mambo Leo (neo-colonialism) waziwazi

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,652
Reaction score
2,696
Husika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
  • ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa.
  • ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi waziwazi bila kificho, kupitia hili ameionyesha Dunia kuwa wanawake wanaweza, na Historia itamkumbuka Dr. Samia kama kiongozi hodari na makini.
  • amekataa kupelekeshwa na mashinikizo ya watu/vikundi vya watu/nchi YOYOTE, hili limemiongezea heshima kubwa Duniani. Namnukuu Mh. RAIS "Tanzania haiongozwi kwa mashinikizo ya aina YOYOTE" that is leadership.
  • Mh. RAIS amesimama na Maadili ya Tanzania, amesimama na amani ya Tanzania, amesimama na uchumi wa Tanzania. Hongera sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan.

Mwisho kabisa nipende Kumpongeza sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha ukakamavu na uzalendo wa hali ya juu kwa Taifa letu, kwa kuendesha uongozi kisayansi hakika Tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
Mungu Mubarak Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan
Mungu Ibariki Tanzania
Kazi na utu Tunasonga mbele
Kazi iendelee 🇹🇿❤️
 
1000234483.jpg
 
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
Chatgpt mnaanza kutumia mshakosa la kuongea nyie ofisi za abdul.
Mm siwezi kutumia huo uchafu, wa kimagharibi mm ni mzalendo KWELIKWELI sema tu na shule nimeenda
 
Yeye anataka kuweka ukoloni wa familia yake na machawa wake kama wewe. Ni bora wakoloni wa waliopita. Kodi zetu zinaishia kwenu kututeka, kututesa, kutupoteza, kutuua.
 
Husika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu.
  • ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama bila wao, huo ndo uongozi ambao Africa inahitaji kwa Sasa.
  • ameyakataa mashinikizo ya kimagharibi waziwazi bila kificho, kupitia hili ameionyesha Dunia kuwa wanawake wanaweza, na Historia itamkumbuka Dr. Samia kama kiongozi hodari na makini.
  • amekataa kupelekeshwa na mashinikizo ya watu/vikundi vya watu/nchi YOYOTE, hili limemiongezea heshima kubwa Duniani. Namnukuu Mh. RAIS "Tanzania haiongozwi kwa mashinikizo ya aina YOYOTE" that is leadership.
  • Mh. RAIS amesimama na Maadili ya Tanzania, amesimama na amani ya Tanzania, amesimama na uchumi wa Tanzania. Hongera sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan.

Mwisho kabisa nipende Kumpongeza sana Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha ukakamavu na uzalendo wa hali ya juu kwa Taifa letu, kwa kuendesha uongozi kisayansi hakika Tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
Mungu Mubarak Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan
Mungu Ibariki Tanzania
Kazi na utu Tunasonga mbele
Kazi iendelee 🇹🇿❤️

Ukisikia mada za kipumb.avu, ni kama hii. Sidhani kama mleta mada ana utimamu wa akili!

Ni sawa jitu liwe jambazi, akitokea jirani akamwambia jitu hilo liache ujambazi, halafu lile jambazi likasrma kuwa haliwezi kuacha ujambazi. Halafu mpumb.avu mmoja akaanza kulisifu lile jambazi kuwa lina msimamo usioyumba!! Very stupid!!
 
Mm siwezi kutumia huo uchafu, wa kimagharibi mm ni mzalendo KWELIKWELI sema tu na shule nimeenda
Unakanusha nini ?.Ukiona umejibu jua umefanya .Hongera kwa ChatGpt
 
Back
Top Bottom