Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,188
- 9,165
Kwa mshangao mkubwa waliodhani jahazi lake lazama hali imekuwa kinyume kwani chombo chazidi kukata mawimbi kikisonga mbele kwa kasi kubwa. Kwa bahati mbaya ambacho hawakujua Nahodha ni mzoefu mwenye weledi mkubwa. Niwape uhakika muda siyo mrefu Jahazi laingia Pwani likiwa salama kabisa.