Samia kashindwa swala la Rushwa, Haki na umasikini

Samia kashindwa swala la Rushwa, Haki na umasikini

Ndiyo tunayo yasema. Halafu tunategemea bado pesa za dawa kutoka USA
 

Attachments

  • IMG_2745.jpeg
    IMG_2745.jpeg
    216 KB · Views: 6
Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini

Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali
Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi na usalama
Umasikini: Huwezi kununua magari ya milioni 400 kwa bilioni 600 halafu unategemea dawa za ukimwi kutoka USAID! kwanini usiombe magari kama tatizo ni magari kama zamani. Dawa hazina 10%!!! na ndiyo sababu wakati haya magari ni rahisi kupata 10%


View: https://youtu.be/ZH1RjR4_oQw?si=o9ErriA5N0-IYLKv

Tatizo siku hizi tuna machawa yaani wanabisha hata vitu vya kitaifa ambavyo vipo wazi. Mama bado haya yote anaweza kabisa kurekebisha

 
Back
Top Bottom