technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,843
Narudia Tena hutoboi
Jisafishe kwa damu ya October 29
Wafungwa wote wa kisiasa watakutesa Sana.
Utekaji utakutesa sana
Jioshe warudishwe waliopotea hata Kama Ni mafuvu yao.
Mrudie Mungu wako tubu
Ongea na moyo wako damu ni nzito kuliko maji