Ikulu haijakamilika ujenzi unaendelea,this time around ni Samia Complex
Binafsi sijawahi ona seriously ndio maana nakukatalia..Mkuu are you serious,kwamba hujawai ona barabara au mitaa ya samia? Unaishi wapi au una ulemavu wa macho.
Tanzania 🇹🇿 Yote MkuuMabango kila barabara yamejaa
Hakuna makosa yoyote by the way,tena Bora majengo ya ndani yaitwa majina ya Viongozi kuliko kuota Mji wa Serikali Magufuli CityKwa iyo km magufuli alikosea tuendelee kuacha wengine wakosee?akili za watanzania bwana sijui lini tutabadilika
Tayari Kuna Magufuli City,kwani lazima Kila kitu kiitwe jina la Magufuli?
Ikulu haijakamilika ujenzi unaendelea,this time around ni Samia Complex
Unaweza anzisha miradi ya Bora liende? Maelfu ya ekari za eneo la Ikulu ni Kwa Ajili ya kuotesha matikiti au?Kila rais akiingia madarakani anaanzisha miradi ya kupachika jina lake, hivi hii nchi ni mali ya wanasiasa tu?
Mnajenga majengo ya kifahari huku baadhi shule hazina madarasa ya kutosha, madawati, nyumba za walimu nk. Ujinga mtupuUnaweza anzisha miradi ya Bora liende? Maelfu ya ekari za eneo la Ikulu ni Kwa Ajili ya kuotesha matikiti au?
Hadi Sasa hakuna mtu ametaja gharama ya Ikulu ni kiasi gani zaidi ya kusema tuu kwamba nondo za msingi zimegharimu Bilioni 1.Duh! Bajeti ya hayo yote ni billioni ngapi?
Kasema michoro tayari. Je gharama ya michoro tu ni billioni ngapi?Hadi Sasa hakuna mtu ametaja gharama ya Ikulu ni kiasi gani zaidi ya kusema tuu kwamba nondo za msingi zimegharimu Bilioni 1.
Michoro Haina gharama yeyote,wanasanifu Wataalamu wa ndaniKasema michoro tayari. Je gharama ya michoro tu ni billioni ngapi?
Itatokea siku akaja mwingine akayafuta yoteKila kiongozi anataka aache majina yake kila Kona
Yaani usilipe kabisakwepa kodi uwezavyo, utanishukuru
Watatekwa kirahisi sanaNjia ya kuruka au kutua ndege a.k.a runway...
Kwa kifupi ikulu kutakuwa na uwanja wa ndege ndogo...
Kubwa kuliko SinzaEkari 8473 sawa na upana ekari 92 = Km 5.8 na urefu 92 = Km 5.8
Ni jambo jema ni maono ya mbali