ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,458
- 88,554
- Thread starter
- #21
Mabango ndio majina ya kudumu? Punguza ujinga kichwani mwako basiMabango kila barabara yamejaa
Mabango ndio majina ya kudumu? Punguza ujinga kichwani mwako basiMabango kila barabara yamejaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa kilazaMabango ndio majina ya kudumu? Punguza ujinga kichwani mwako basi
Mitaa ya barabara kila kijiji.Majina yake mengine Yako wapi?
Rais wa kwenye mawe must Go!Asante sana Rais Samia na wewe uache Alama ndani ya Ikulu,First Woman President
Kama Nani? Kwamba tuwape HESHIMA waliokufa? Ni haki yake mama apewe maua yake angali haiSina tatizo sana na ujenzi ukiwa umelenga kuboresha mambo, nina tatizo kubwa mnoo na hilo jina la Samia complex. Huku ni kulazimisha legacy kwa kujipendelea. Hayo majina wapewe viongozi waliokufa na waliobeba hayo maono.
Nitajie hiyo mitaa ya Kila Kijiji ,nataka mitaa 5Mitaa ya barabara kila kijiji.
Mwigulu mawe nchi nzima
Nyerere kila sehemu
Magufuli naye shule, stendi na madaraja+ mitaa ya barabara.
Halafu unayemfanyia promo hana hadhi ya kuwa kiongozi ni vile tu nchi yetu imejaa wajinga kama weweWewe kunguni pro unajua nini zaidi ya kulamba lolo Ili uishi?
Wewe mwenye hadhi na uwezo mbona hujitambui mwaka mzima.unalalamika 😁😁Halafu unayemfanyia promo hana hadhi ya kuwa kiongozi ni vile tu nchi yetu imejaa wajinga kama wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa kilaza
Soma maelezo kwenye attachment hapo Mwanzo .Katika vipao mbele vya ujenzi wa miladi hapa nchini, samia complex ipo namba ngap? Ukiachana na hilo, viongozi muache kasumba ya kuvipa majina yenu binafsi vitu na mali za nchi.
Mkuu usikaze Shingo. Sipingi hiyo samia complex,ila ukitaka nikutajie mitaa ya tutajaza server humu.. Amini kila mkoa kila wilaya na kila kata na kijiji,kulipowekwa vibao vya anuani kuna jina LA samia. Nchi nzimaNitajie hiyo mitaa ya Kila Kijiji ,nataka mitaa 5
Hata yeye atakufa pia. Unaweza kusema kafanya booking ya jina lake kutumika akiwa mfu in advance.Sina tatizo sana na ujenzi ukiwa umelenga kuboresha mambo, nina tatizo kubwa mnoo na hilo jina la Samia complex. Huku ni kulazimisha legacy kwa kujipendelea. Hayo majina wapewe viongozi waliokufa na waliobeba hayo maono.
Na hakika haipo maana Mimi sijawahi ona mtaa hata mmja wa jina la Rais labda shule ambazo hazizidi hata 3 Sasa wewe hayo unayoongea umeyatoa wapi? Mpaka hapo unapingaMkuu usikaze Shingo. Sipingi hiyo samia complex,ila ukitaka nikutajie mitaa ya tutajaza server humu.. Amini kila mkoa kila wilaya na kila kata na kijiji,kulipowekwa vibao vya anuani kuna jina LA samia. Nchi nzima
Na wala hayana tija yoyoteMabango kila barabara yamejaa
Na hakika haipo maana Mimi sijawahi ona mtaa hata mmja wa jina la Rais labda shule ambazo hazizidi hata 3 Sasa wewe hayo unayoongea umeyatoa wapi? Mpaka hapo unapinga
Kwa iyo km magufuli alikosea tuendelee kuacha wengine wakosee?akili za watanzania bwana sijui lini tutabadilikaNani Alimshauri Jiwe aite Mji wa Serikali Mtumba Magufuli City?
Chuki na wivu ,Je hapo ingeitwa Kikwete ingekuaje? [emoji16][emoji16]
Nenda ukafute basi jina likiandikwa [emoji23][emoji23]
Njia za ndege ndiyo nini?