Samia anatakiwa kupumzika it's over!

Samia anatakiwa kupumzika it's over!

Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi

Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika

Asipokubali atatoka kwa aibu

Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake

Asije kusema atukumwambia

Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .

Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........

Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
Acheni kumsakama mama wa watu. Ndio kwanza ameanza kuongoza Jamhuri ya Muungano. Hizo chokochoko za nini wakuu ?
 
Samia anatakiwa awe mwelewa aondoke jamani sijawai kuona RAIS asiokubalika kama huyu yani ni kila kona ya nchi..atalazimisha lkn kulazimisha kutawala watu ambao hawakutaki hio ni laana mama ,watu watakuombea mabaya tena kwa wingi.Achana na hiko kiti,kiache kabisa jijengee heshima yako ulobaki nayo.

Siongei kwa ushabiki jaman fanyeni research ndogo tu kati ya watu 10 unaowajua wanaomkubali huyu mama ni wangapi alafu lete Sample hapa.

Yani sio vijana,wazee wala wanawakeni HAKUBALIKI NA HAUZIKI!
 
Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi

Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika

Asipokubali atatoka kwa aibu

Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake

Asije kusema atukumwambia

Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .

Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........

Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
Hakuna lolote!
 
Apumzike kwasababu zipi za msingi,Toa sababu kwanza tukuelewe...hii nchi sijawahi kuskia watu wanamsifia Rais aliyeoko madarakani zaidi ya kumnanga mwanzo mwisho,marais wote waliowahi kutuongoza walikutana na changamoto Kama zako hizi...muacheni mama aendeshe nchi Binafsi sioni kma analo Hilo baya
 
Samia anatakiwa awe mwelewa aondoke jamani sijawai kuona RAIS asiokubalika kama huyu yani ni kila kona ya nchi..atalazimisha lkn kulazimisha kutawala watu ambao hawakutaki hio ni laana mama ,watu watakuombea mabaya tena kwa wingi.Achana na hiko kiti,kiache kabisa jijengee heshima yako ulobaki nayo.

Siongei kwa ushabiki jaman fanyeni research ndogo tu kati ya watu 10 unaowajua wanaomkubali huyu mama ni wangapi alafu lete Sample hapa.

Yani sio vijana,wazee wala wanawakeni HAKUBALIKI NA HAUZIKI!
Acha uongo wewe,nchi gani hiyo Umeona Samia hakubaliki? Shida yako ukiamka asubuhi tu unatafuta Habari mbaya za kutengeneza zinazomhusu rais mwisho wa siku ubongo unaujaza upuuzi mtupu kiasi kwmb unakuwa kma mwehu sasa..kichwani unaskia mivumo Eti Rais raia hawamtaki,mbona sisi wote tupo Huku mtaani na hatuoni hzo kelele?
 
Mbona kufoka kwingi hapa situnaongea au kuna ugomvi?
Unaonekana haujui kitu ,endele kuwasikilia wakina sarungi na Mange ...Narudia tena ! Rais hausiki wala hao wanaomkosoa hawajui.
 
Acha uongo wewe,nchi gani hiyo Umeona Samia hakubaliki? Shida yako ukiamka asubuhi tu unatafuta Habari mbaya za kutengeneza zinazomhusu rais mwisho wa siku ubongo unaujaza upuuzi mtupu kiasi kwmb unakuwa kma mwehu sasa..kichwani unaskia mivumo Eti Rais raia hawamtaki,mbona sisi wote tupo Huku mtaani na hatuoni hzo kelele?
Endelea kula huo mrija wako ila jua huu mwaka ndio mwisho mpumbavu mmoja usiejali Taifa lako wala wanao wataishi maisha gani huko mbeleni..umekalia uChawa tu hapo eti na ww nyumbani unaitwa babaaa pyeeeeeee
 
Sio suala la wewe kushauri, tuambie Katiba inasemaje juu ya rais kuondoka madarakani?
 
Kama angekuwa ndugu yangu, ningemshauri hivyo hivyo. Amejitahidi mpaka uwezo wake unapoishia, apumzike tu. Akipuuza huo ushauri, kuna siku ataukumbuka, na kitakachomshtua zaidi, atakuwa tu anajiuliza, hata huyu? Hata yule? Mbona walikuwa wananisifia sana?

Nchi hii iliyojaa watu wanafiki, ukiwa na madaraka, usiangalie sifa unazopewa au kuambiwa, fanya uchunguzi wako binafsi ili kuujua ukweli.
 
Siasa za bongo ni upumbavu wa hali ya juu.. Bora hata uwaangalie watoto wa mzee Kikala
Siasa kama ni za kipumbavu basi wanatakiwa watu wa kuzifanya ziwe za maana. Na hao watu ni wananchi wote kwa umoja wao.
 
Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi

Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika

Asipokubali atatoka kwa aibu

Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake

Asije kusema atukumwambia

Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .

Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........

Nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko!

Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
Mzee Mpango alinusa kitu akaamua kujiweka pembeni mwenuewe na sasa Majaliwa amenusa kitu kile kile hasa baada ya Makonda na Lengai kuchukua fomu ndani ya chama za kugombea.
Hili halihitaji watu waliosoma Cuba kung'amua ni wazi walioangamiza utengamano na umoja wa kitaifa wanakusanywa pamoja kwa ajili ya kusudi la Mungu lililokusudiwa juu yao.
 
Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi

Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika

Asipokubali atatoka kwa aibu

Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake

Asije kusema atukumwambia

Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .

Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........

Nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko!

Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
Nenda ikulu kamwambie
 
Umesikia yule wa Muhimbili waliyempiga kisu cha kujichinja na akapona
 
Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi

Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika

Asipokubali atatoka kwa aibu

Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake

Asije kusema atukumwambia

Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .

Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........

Nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko!

Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
That's why
downloadfile.jpg
 
Reforms sasa ni LAZIMA na si option tena - uchaguzi huru na wa haki uje ili tupaye RAIS Mzalendo atakayetuvusha mwenye mapenzi mema na Tanganyika yake.
 
Back
Top Bottom