Samia anatakiwa kupumzika it's over!

Samia anatakiwa kupumzika it's over!

Asipumzike agombee tu ila uchaguzi uwe huru na haki na akishindwa ampishe aloshinda atarudisha heshima yake yote na atapendwa mno.
 
Ushahidi uletewe hapo ghetto unaposhinda ukivuta Bangi? Wewe ulishakariri mama yako ni mungu ni malaika hana Dhambi na wewe ni mnufaika wa vitendo haramu vya kishetani hata uletewi nini utabisha tu
Naona umaskini ni tatizo ,tafute pesa unaongea bila ya ushahidi ...Hii nchi kila mtu ana majukumu yake ,ni nchi kubwa Rais ni mkuu wa nchi ila hana uwezo wa kushughulika na wote..
 
Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi

Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika

Asipokubali atatoka kwa aibu

Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake

Asije kusema atukumwambia

Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .

Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........

Nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko!

Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
Umempa ushauri mzuri sana kwanza akubariki ndio maana afuati kanuni za chama hii inaonesha ni kiasi Gani anajuwa kwamba endapo akifata kanuni atapigwa chini jambo ambalo ataki litokee.
 
Back
Top Bottom