Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,405
- 1,611
asipokubali kuachia shauri zake
Kwanza ameshazeekaNashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi
Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika
Asipokubali atatoka kwa aibu
Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake
Asije kusema atukumwambia
Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .
Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........
Nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko!
Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
Watanzania ni kundi la binadamu wapuuzi pengine kuliko makundi yote barani afrika.Hauna ushahidi acheni siasa za kuleta matukio ya hovyo, hakuna kibaya anafanya ..Hizo ni changamoto na atamaliza tu ..Yule alikuwa mnamuita dikteta ...
Kwa jinsi alivyojipanga kujinufaisha na rasilimali za Tanganyika sioni kama atapumzika soon. Yaani keshajimegea ardhi na kujipachika kwenye umiliki wa rasilimali muhimu (kupitia kwa uratibu wa kifua kipana aka Mchengerwa na Bashite). Si pale Arusha, Ngorongoro, Karatu, na maeneo mengine muhimu! Keshajimilikisha vingi!Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi
Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika
Asipokubali atatoka kwa aibu
Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake
Asije kusema atukumwambia
Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .
Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........
Nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko!
Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
Ingependeza sana kama masuala ya muungano yangeishia kwenye yale tunayoungana kama bahari, Uvuvi, utalii wa fukwe...Hauna ushahidi acheni siasa za kuleta matukio ya hovyo, hakuna kibaya anafanya ..Hizo ni changamoto na atamaliza tu ..Yule alikuwa mnamuita dikteta ...
🤣🤣🤣🤣Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi
Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika
Asipokubali atatoka kwa aibu
Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake
Asije kusema atukumwambia
Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .
Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........
Nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko!
Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
Wenye ccm yao akina majaliwa mpango Bashiru mpina ,makamba, Nape, kinana na wenzao hawamtaki ingawa ccm chawa yaani ibirisi wa ccm akina Amos makala wanufaika wa kula mabilioni ya kuidhoofisha chadema wao wanaendelea kula pesa na kumdanganya kuwa anakubalikaNashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi
Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika
Asipokubali atatoka kwa aibu
Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake
Asije kusema atukumwambia
Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .
Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........
Nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko!
Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
Muungano ufe Tanganyika iwe huruIngependeza sana kama masuala ya muungano yangeishia kwenye yale tunayoungana kama bahari, Uvuvi, utalii wa fukwe...
LAKINI kwa hiki kinachoendelea Tanganyika inaporwa kila rasilimali zake za msingi kama madini, ardhi, misitu, wanyapori n.k
Na sasa ni siri ya wazi... Wanasema ngoja twende kwa wale sleeping giants ( WaTanganyika) tukajichukulie mapema!
How comes watu dhahabu si haki yao ya kuzaliwa lakini wawe wa kwanza kujimilikisha na kuwamilikisha Waarabu?
Anyways, Resource Curse is a real discourse!
Hii mikwara yako ya kishetani imefanya tuone kuwa wewe binafsi ndiyo unaua na kuteka watu laana zote zimiminike kwao huko ulipoAcha ujuha ,Rais hana muda wa kumfuatilia mtu wala kutoa hukum..Soma uelewe deep state wanaweza kukupata hata wewe hiyo ni kazi yao ..Raisi hausiki achana na porojo za wanasiasa.
Ushahidi uletewe hapo ghetto unaposhinda ukivuta Bangi? Wewe ulishakariri mama yako ni mungu ni malaika hana Dhambi na wewe ni mnufaika wa vitendo haramu vya kishetani hata uletewi nini utabisha tuHauna ushahidi acheni siasa za kuleta matukio ya hovyo, hakuna kibaya anafanya ..Hizo ni changamoto na atamaliza tu ..Yule alikuwa mnamuita dikteta ...
Acheni kumsakama Lisu acheni kuwasakama chadema kwani ndiyo kwanza uongozi mpya umeanza kaziAcheni kumsakama mama wa watu. Ndio kwanza ameanza kuongoza Jamhuri ya Muungano. Hizo chokochoko za nini wakuu ?
Unasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetaniUnaonekana haujui kitu ,endele kuwasikilia wakina sarungi na Mange ...Narudia tena ! Rais hausiki wala hao wanaomkosoa hawajui.
Wenye ccm yao Nape, makamba, Bashiru,kinana, majaliwa, mpango, mpina, na wenzao wengi wanajipanga kumwengua kwenye mbio za Urais kwa uteuzi wa jina la mgombea Urais haukufanyika kidemokrasiaMzee Mpango alinusa kitu akaamua kujiweka pembeni mwenuewe na sasa Majaliwa amenusa kitu kile kile hasa baada ya Makonda na Lengai kuchukua fomu ndani ya chama za kugombea.
Hili halihitaji watu waliosoma Cuba kung'amua ni wazi walioangamiza utengamano na umoja wa kitaifa wanakusanywa pamoja kwa ajili ya kusudi la Mungu lililokusudiwa juu yao.
Majaliwa ndiyo Rais shareasipokubali kuachia shauri zake
Utampendaje mtu muovu kiasi hiki?Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi
Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika
Asipokubali atatoka kwa aibu
Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake
Asije kusema atukumwambia
Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .
Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........
Nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko!
Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
Akifanya hivyo, nami nitaanza kumheshimu angalau kidogo.Sio apumzike aruhusu ushindani wengine wachukue fomu ya nafasi yake, Alafu amuachie lissu kisha afanye reforms. Hapo hapo atapumzishwa kwa shangwe la taifa
Kina chawa Steve Nyerere, Kubwa Jinga Mwijaku, Haji Manara tafadhalini mshaurini mama yenu anakwenda kupotea kisiasa huyu. Jamii ishamchoka hivi sasa, wanamshangaa akitwanga maji kwenye kinu.Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi
Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika
Asipokubali atatoka kwa aibu
Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake
Asije kusema atukumwambia
Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana .
Miruzi mingi ya machawa inakupoteza Samia ........
Nitasema kweli daima uongo kwangu mwiko!
Tukiwaambia No reform no Election muwe mnaelewa!.
Wale si wapiga punyeto tuNgoja vijana wa Kijani wakusikie