PostGE2025 Samia anamtumia Nanauka kuwazima Gen-Z

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyo kijana hawezi kuwasandia ni upumbavu mtupu baada ya kufanyia kazi mambo ya utekaji mauji, rushwa, na Ufisadi nafikiri huyo kijana anaweza kuwasandia?

Kweli sikio la kufa haliwezi kuskia dawa huyu dogo anaweza kuzuia Mauji, utekaji, rushwa, Ufisadi haki kwamba huyu dogo atafanya mihimili kua huru? Huyu kijana anaweza kubadilisha jeshi la police na kulifanya reforms acheni utoto basi

Madai ya GenZ ndo madai muhimu mambo serious sio utoto wa kuchukua motivational speaker mbona nyie ni watu wazima lakini mambo mnayofanya hayaendani na Umri wenu
 
Ni upuuzi mtupu..
 
Sijui nani kawadanganya maCCM tunahitaji motivation speaker sisi..wakati tunataka Katiba mpya
 
Joel leo kaanzishiwa nyuzi 7 hadi muda huu 😅😅
 
Mtunzi alikuwa Elvis Msiba, hakuna cha AI Wala nini, unasoma vitabu vyake hadi mwili wa sisimkA! Kuna baadhi ya Chapter za kitabu cha njama. Ulipokuwa ukimaliza kuzisoma, unakuwa tayari unajua Willy Gamba kama tayari ni....!!! Sema hakuna kitu iliniuma kama 'kuondoka' kwa Veronica!!!
Ben R. Mtobwa na harakati za Joram Kiango. Unasoma kama unaangalia move.
 
mshamba_hachekwi usie mtaka Joel Nanauka ,CCM imempa uwaziri kamili.

Yan 😂 Motivation Speaker ndio aje kuwa waziri wa Gen z .
Serikali imegoma kuwajibika kwa wananchi, inatafuta watu kuja kupiga balaa blaa
 
Hana legacy yoyote mbwa huyo.... angekua na legacy asingeenda kuhangaika na kiapo cha damu. Acheni kuwapa ukuu watu wasio na utu
 
Hivi ukiwa motivation speaker unakuwa na legacy?

Kuandika na kutunga vitabu kwa ku copy na ku paste kwa msaada wa AI unakuwa na legacy?
Can your do what he did please. Just ego inakufanya umshushe ili uone Kama hana legacy. Yeye akaongea vitu akaweka vitu mtandaoni YouTube , wewe fanya anything uweke mtandaoni upate views hata buku inatosha tuone
 
mshamba_hachekwi usie mtaka Joel Nanauka ,CCM imempa uwaziri kamili.

Yan 😂 Motivation Speaker ndio aje kuwa waziri wa Gen z .
Serikali imegoma kuwajibika kwa wananchi, inatafuta watu kuja kupiga balaa blaa
Simchukii jamaa, nachukia motivational speakers. Kwa jinsi alivyokuwa anaji'brand' lazima wangemchukua tu.

Akizingua itakula kwake vijana si wana hasira....
 
Back
Top Bottom